Kweli...WPS, Xodo uchafu.Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
unaeza kudownload uskize offline?Sisikilizagi nyimbo mara nyingi. Ila matangazo hakuna mi napenda podcasts tu
80Karibu mkuu!! Uko level gani?
Bado sana
Mumbai umechukua Pete ngapi?Bado sana
Iliwezekana vipi wakati live location automatically ina-detect sehemu halisi uliyopo....!?Nina address ya USA na simu yangu niliiset iwe ninatambulika kama naishi US.
Kila kitu kikaenda poa.
Hiyo m-pesa & my vodacom niaje tena, mimi nina app ya m-pesa tz nimeshindwa ku-log in miezi sasa.Tigopesa App
Mpesa na My Vodacom
Halopesa
CRDB simbanking
Adobe reader
Adobe Scanner
Jf
Tanesco App
Ada(Health app)
Quran for Android
Outlook
Inaweza kuweka mobile view kama ifanyavyo wps!?Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
Jaribu kui uninstall then install tena mkuuHiyo m-pesa & my vodacom niaje tena, mimi nina app ya m-pesa tz nimeshindwa ku-log in miezi sasa.
Ee mkuuunaeza kudownload uskize offline?
kaaa naipatajae hii, yaani bila kulipia?? hebu nipe link naipataje hiiEe mkuu
Ukisoma comment inakubali?Mbona videorder inapiga kazi poa tu.
Nimefanya but shida ni ileile, kwani nahitaji kwenda kwenye shop yao kuunganishwa....!?Jaribu kui uninstall then install tena mkuu
Wacheki WhatsApp kwa namba hiziNimefanya but shida ni ileile, kwani nahitaji kwenda kwenye shop yao kuunganishwa....!?
Comment ipi mkuu? Ukisha download kazi yako ni ku paste link tu, then unachagua option ya quality unayotaka, unapakua (video au audio). Hawana mambo ya premium wala nini.
Me nshachukua Selenium asee nmefuta Pulsar yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naweka kambi hapa kuibia lonja mdogo mdogo.....
Kwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??Nimefanya but shida ni ileile, kwani nahitaji kwenda kwenye shop yao kuunganishwa....!?
Mimi nafatiliaga comments za wadau kuhusiana na video ninayoiangalia mkuu. Sasa kwenye comment ndo inazingua kufungukaComment ipi mkuu? Ukisha download kazi yako ni ku paste link tu, then unachagua option ya quality unayotaka, unapakua (video au audio). Hawana mambo ya premium wala nini.
Mfano angalia hapo inavyotaga. Hata kusearch kitu hailetiComment ipi mkuu? Ukisha download kazi yako ni ku paste link tu, then unachagua option ya quality unayotaka, unapakua (video au audio). Hawana mambo ya premium wala nini.