Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
Kweli...WPS, Xodo uchafu.
 
Hizi apps muhimu kwenye simu yangu:
-Social: Insta,Whatsapp,Twitter,JF
-Office: Google drive,Google sheet,Google Doc l,WPS
-Sport: Livescore,Sofascore,Sportpesa
-Music/Video: Mx player,Jet Audio,Shazam
-Tools: Google Keep,Microsoft To Do,Pomodoro
-Other: Linked in,Enki,Feedly,Ajira yako,Tigopesa
 
Tigopesa App
Mpesa na My Vodacom
Halopesa
CRDB simbanking
Adobe reader
Adobe Scanner
Jf
Tanesco App
Ada(Health app)
Quran for Android
Outlook
Hiyo m-pesa & my vodacom niaje tena, mimi nina app ya m-pesa tz nimeshindwa ku-log in miezi sasa.
 
Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
Inaweza kuweka mobile view kama ifanyavyo wps!?
 
Comment ipi mkuu? Ukisha download kazi yako ni ku paste link tu, then unachagua option ya quality unayotaka, unapakua (video au audio). Hawana mambo ya premium wala nini.
Mimi nafatiliaga comments za wadau kuhusiana na video ninayoiangalia mkuu. Sasa kwenye comment ndo inazingua kufunguka

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Comment ipi mkuu? Ukisha download kazi yako ni ku paste link tu, then unachagua option ya quality unayotaka, unapakua (video au audio). Hawana mambo ya premium wala nini.
Mfano angalia hapo inavyotaga. Hata kusearch kitu haileti
Screenshot_20210131_130518_com.rahul.videoderbeta.jpg
Screenshot_20210131_130433_com.rahul.videoderbeta.jpg

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom