Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Kweli...WPS, Xodo uchafu.Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.