Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Office ina MB 80,

WPS ina MB 69, kama unataka kuscan documents utachukua na CamScanner MB 42 ambayo jumla ni MB 111. Si bora uchukua tu Office inayofanya kila kitu tena free kabisa kwenye kila feature.

Alaf Office pia ina integrate na OneDrive. Kma ume setup OneDrive kwenye PC yako unaweza save documents kwenye simu na ukazikuta kwenye PC yako vizuri tu.
Nilikosea nilitaka sema hii app simu ndogo inacrash sana sijui kwa nn
 
Kuna majitu bado yamelala sn huko serikalini, ss wanasubiri mpk waambiwe watengeneze app ambayo itawezesha mteja kununua umeme direct kupitia hyo app? Kwnn wasitengeneze app ambayo itafanya mtu aingize umeme moja kwa moja bila kuanza kuhangaika na sijui mashine za kuingizia umeme sijui kuanza kuingiza token na mauchafu uchafu km hayo!?
Luku haiko connected na internet
 
Mkuu nimesearch zimekuja kama 10 ivii..msaada kwenye tuta unaweza share icon yake..

Natanguliza shukran
Screenshot_20210130-182131.jpg
 
Jamii Forums

Shazam

CrossDj / Edjing Mix

Telegram

IDM

Apex launcher

Kingroot

Lucky Patcher

Audiomack

Truecaller
Truecaller inarecord simu kwenye samsung A series? Napata shida kupata app/apk or whaever ya kurecord simu kwenye A series. Naona kama wame restrict. Msaada tafadhali...
 
Back
Top Bottom