Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mileage ya nini? Kwanini mi-CCM kila wakati mnawaza vitu ambavyo havipo?? Tunazungumzia hiki nyie mnawaza uchaguzi..,.Kwaiyo lisu kupigwa risasi unahisi linaweza kuiongezea milage chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mileage ya nini? Kwanini mi-CCM kila wakati mnawaza vitu ambavyo havipo?? Tunazungumzia hiki nyie mnawaza uchaguzi..,.Kwaiyo lisu kupigwa risasi unahisi linaweza kuiongezea milage chadema?
Kwa bahati mbaya Mimi sio CCM lakini achanane siasa za matukio na kiki mahala sahihi kwa lisu kupeleka swala lake ni mahakamani uzuri ushahidi kashasema anaoMileage ya nini? Kwanini mi-CCM kila wakati mnawaza vitu ambavyo havipo?? Tunazungumzia hiki nyie mnawaza uchaguzi..,.
Kweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.Nisiwe na porojo nyingi , nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda
Naomba majibu
Hawa huwa wanapewa na kubadiliahana taarifa za Kiintelijensia wakati wote, hata umbea umbea kutoka kwa watu wa juu, serikalini n.k huwa wanayafanyia kazi. Ndio intelligence gathering yenyeweHuyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?
Kwa akili zako katoa siri kubwa au kaficha Siri kubwa?Lissu leo katoa Siri kubwa sana juu ya Balozi aliyempa taarifa pamoja na uhusika wa Kipilima.
Wacha nitafute jina la huyo Balozi
Ukishakuwa nyumbu ni shida, anatumia akili za Mbowe. Kila siku kubwabwaja tuu miaka nenda rudiKweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
Wewe ni CCM, Acha kukana chama chako Nina uzoefu wa kutosha wa kuwatambua CCM mitandaoni. Anyway unakumbuka kauli ya Boss wako Makonda kuhusu Mahakama zenu? Au unajizima data?Kwa bahati mbaya Mimi sio CCM lakini achanane siasa za matukio na kiki mahala sahihi kwa lisu kupeleka swala lake ni mahakamani uzuri ushahidi kashasema anao
Balozi zote za nchi zote duniani zina majasusi...kuna balozi zina majasusi hapa nchini.
..nakushauri ukasome taarifa za CIA kuhusu Tz zilizokuwa declassified utaelewa kuwa kuna watu wanatuchunguza.
Kipilimba!Lissu leo katoa Siri kubwa sana juu ya Balozi aliyempa taarifa pamoja na uhusika wa Kipilima.
Wacha nitafute jina la huyo Balozi
Na afiki.Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Wewe ni CCM, Acha kukana chama chako Nina uzoefu wa kutosha wa kuwatambua CCM mitandaoni. Anyway unakumbuka kauli ya Boss wako Makonda kuhusu Mahakama zenu? Au unajizima data?
Chadema sio sauti ya wananchi ni sauti ya mabwenyenyeNa afiki.
Lissu ana hasira na makasiriko. kwa lugha nyepesi ni Frustration.
Hata mimi ninge kiamsha.
Wewe mkuu unasema umeme tu? Suala la bandari lilikuwa moto zaidi we acha tu.
Kwa mtazamo wangu, CCM waishukuru CHADEMA kwa kusuasua, na kuto kutoa ushirikiano kwa wakati kwa Sauti ya Watanganyika, nataka kusema ilikuwa kwa makusudi sababu za yale "Maridhiano ya nyuma ya Pazia"
Na mara nyingi tatizo linakuja nani ataweza kulinda interest za wenye interest. Usifikiri zile safari za mabalozini zilikuwa in vain.
Haijalishi.
CHADEMA lacks a cohesive message and a coherent policy ajenda.
Lisu anataka kuyatoa maandamano ya chadema ya kudai katiba mpya kwenye reli anataka yeye ndo awe ajenda kwenye chamaWewe ni CCM, Acha kukana chama chako Nina uzoefu wa kutosha wa kuwatambua CCM mitandaoni. Anyway unakumbuka kauli ya Boss wako Makonda kuhusu Mahakama zenu? Au unajizima data?
Mahakama inayoweza kuhukumu kesi ya tuhuma za mauaji za Makonda ni International Court at the HAGUE!Kweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
saa zingine ukiwa huna hoja bora kukaa kimya ni hekima zaidi 🐒Nisiwe na porojo nyingi , nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda
Naomba majibu
Achana na vitoto hivyo...kuna balozi zina majasusi hapa nchini.
..nakushauri ukasome taarifa za CIA kuhusu Tz zilizokuwa declassified utaelewa kuwa kuna watu wanatuchunguza.
EU hawataongea sababu T.L hajataja kuwa ni balozi wa EU, Makamba atajibu kama alivyojibu Mahiga.Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.
Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.
Kuna Uzito.
Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.
Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!
Lissu akili kubwa. Uchuguzi upo na hautafanyika kwa Lissu kwenda mahakamani ataitwa kama shahidi tu. Endelea kuomba Mungu. akupe uhaiKweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
.
Unawafahamu mabalozi vizuri ukiachana na Hawa ccm wenzakoHuyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?