Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Sumry,Dsm- Kigoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119],ile kampuni bora hata waliachana na biashara ya usafirishaji. Ile ngoma nimepanda ile kukaa kwenye seat tu vumbi likatimuka kama lote[emoji23][emoji23][emoji23],dreva akawa analipasha pasha moto ile kujiandaa kutoka na kuita abiria waingie ndani eeehee asee vumbi ikaanza kutimka kila mahala,kwenye viti,vioo mpaka pale sehemu ya kuwekea mizigo,tulitoka Ubungo tumejaa vumbi tiyari[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom