Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]King-cross..basi flani linapiga route ya Iringa to Dodoma, aisee nakumbuka kipindi hicho unalipanda basi hili ukiwa msafi ila wakati wakushuka sasa[emoji23][emoji23] hali ni tete yani kama misukule imetoka trip.
Mabus yao mengi bi higerAllys zamoto ni nyingi tuu
Kuna city hunter hii hadi ilipta ajali ikarudi kukaww na ginimbi pia enzi izo kulikuwaga na DRG aka La petrol hili ndo balaa, nyingine zinatambulika kwa nmba tuu achana n hizi DX Series
Higer wanazo mbili tuu zinaishia dodoma mwanza huku dar zote ni Xiamen Golden dragonMabus yao mengi bi higer
Zama zimebadilika aisee, wakati zamani Champion ndio ilikuwa gari ya kwanza kwa safari ya Dom - Dar yaani saa 5 na nusu asumbuhi ngoma inaitafuta Kimara imeondoka Dom saa 12 alfajiriImagine gari limeanza safari saa saba. Limekutwa Moro saa 11 na Shabiby lililoanza safari saa tisa, seat zenyewe 3 by 2
Aiseee hili gari... bora utembeeAlhashoom Dodoma to Morogoro.
Ni safari ya siku nzima, na wanapaki porini wapakize mkaa.
Yanakimbia sana.Mwendo ni wa kobe au farasi[emoji81]
Mara ya mwisho kuyaona road ilikuwa 2016Hili bus sindo yale ya nembo ya eagle meupe bado yapo kweli enzi izo 2004 sijawahi kuyaona tena
Na channel moja ya youtube inaitwa bamba live jamaa anawahoji watu maswali ya kawaida ambayo hawajui, wanakosea.Halafu Sijui huwa wanaambizanaga jamani…yani %98 kwenye mabasi huwezi kukosa movie za mkojan
Limeandikwa ubavuni mdau, si unajua tena enzi za bus lazima waweke video coachSasa mkuu hilo jina silinasomeka hadi mat×k0ni kwa gari[emoji23]
Walihamia simiyu-dar! Wapo road mpaka kesho..The Pride of Mwanza, siku hizi nadhani hawapo maana walikuwa wataalam wa barabara ya vumbi kipande cha Mwanza to Dom kabla ya lami kutengenezwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Niliwahi kupanda bus lina jina refu ubavuni kuliko buses zote duniani linaitwa "Mkwema video coach including telecommunication"