Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

King-cross..basi flani linapiga route ya Iringa to Dodoma, aisee nakumbuka kipindi hicho unalipanda basi hili ukiwa msafi ila wakati wakushuka sasa[emoji23][emoji23] hali ni tete yani kama misukule imetoka trip.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna basi lilikuwa linaitwa champion Dom-Dar, niliapa sitokaa nilipande teeena sio kwa mwendo ule. Na mghamba Mwanza-Arusha [emoji119][emoji119][emoji119]
Mwendo ni wa kobe au farasi[emoji81]
 
Allys zamoto ni nyingi tuu

Kuna city hunter hii hadi ilipta ajali ikarudi kukaww na ginimbi pia enzi izo kulikuwaga na DRG aka La petrol hili ndo balaa, nyingine zinatambulika kwa nmba tuu achana n hizi DX Series
 
Allys zamoto ni nyingi tuu

Kuna city hunter hii hadi ilipta ajali ikarudi kukaww na ginimbi pia enzi izo kulikuwaga na DRG aka La petrol hili ndo balaa, nyingine zinatambulika kwa nmba tuu achana n hizi DX Series
Mabus yao mengi bi higer
 
Imagine gari limeanza safari saa saba. Limekutwa Moro saa 11 na Shabiby lililoanza safari saa tisa, seat zenyewe 3 by 2
Zama zimebadilika aisee, wakati zamani Champion ndio ilikuwa gari ya kwanza kwa safari ya Dom - Dar yaani saa 5 na nusu asumbuhi ngoma inaitafuta Kimara imeondoka Dom saa 12 alfajiri
 
Halafu Sijui huwa wanaambizanaga jamani…yani %98 kwenye mabasi huwezi kukosa movie za mkojan
Na channel moja ya youtube inaitwa bamba live jamaa anawahoji watu maswali ya kawaida ambayo hawajui, wanakosea.
Nimepanda mabasi zaidi ya 13 kutoka october mwaka jana mpaka august hii.
 
Niliwahi kupanda bus lina jina refu ubavuni kuliko buses zote duniani linaitwa "Mkwema video coach including telecommunication"
Sasa mkuu hilo jina silinasomeka hadi mat×k0ni kwa gari[emoji23]
 
Back
Top Bottom