Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SauliBus gani umewah panda na ukajutia safari yako.
Sikutaka hata kulijua jina. Nililiungia hapo Iringa...Au fikoshi? Mkuu
[emoji81][emoji75][emoji174][emoji119]Islam, Moro _Moshi,
Mara gari ianze kuwaka moto, mnaegesha afu unafanyika ufundi na safari inaendelea, kuja kufika mmechoka mpaka kope, abiria wote wanajiapiza kuto kurudia.
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Wanazingua sana,panda Dsm.....ukifika Moro mnaingia gereji yao na mnaweza kukaa hapo hata masaa 2Mbona ni gari nzuri mkuu[emoji75]
Hili bus sindo yale ya nembo ya eagle meupe bado yapo kweli enzi izo 2004 sijawahi kuyaona tenaKuna mabasi jina HOOD!!
Hawa jamaa kwanza ni waongo unakata ticket ya new force ya Mbeya to Moshi , wao wakatuweka kwenye Hood!
Yaani Mbeya to Moshi tulitumia siku tatu kufika Tanga!
Baada ya kufika Tanga nikajiongeza nikaachana nao!
Hii hood ndo niliikuta mimi walivotoka hapa ndo wakahamia kwenye marcopolo hizi new modelKuna mabasi jina HOOD!!
Hawa jamaa kwanza ni waongo unakata ticket ya new force ya Mbeya to Moshi , wao wakatuweka kwenye Hood!
Yaani Mbeya to Moshi tulitumia siku tatu kufika Tanga!
Baada ya kufika Tanga nikajiongeza nikaachana nao!
Ni sawa ila Abood hata bure sipandi safari ndefu...ila DSM -Moro fresh na hizo gari mpya zinawekwa route ya Dar-Moro[emoji81][emoji75][emoji16][emoji119][emoji119] lakini ameleta vyuma vingine vikali sana zhongtoung za kibabe
Ndiyo mchezo wakeMjanja sana ameleta mpya route ya karibu ili asijichoshe yale mabovu ndo kayapeleka route za mbali