Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Islam, Moro _Moshi,
Mara gari ianze kuwaka moto, mnaegesha afu unafanyika ufundi na safari inaendelea, kuja kufika mmechoka mpaka kope, abiria wote wanajiapiza kuto kurudia.

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mabasi jina HOOD!!
Hawa jamaa kwanza ni waongo unakata ticket ya new force ya Mbeya to Moshi , wao wakatuweka kwenye Hood!
Yaani Mbeya to Moshi tulitumia siku tatu kufika Tanga!
Baada ya kufika Tanga nikajiongeza nikaachana nao!
 
Hili bus sindo yale ya nembo ya eagle meupe bado yapo kweli enzi izo 2004 sijawahi kuyaona tena
 
Kuna mabasi jina HOOD!!
Hawa jamaa kwanza ni waongo unakata ticket ya new force ya Mbeya to Moshi , wao wakatuweka kwenye Hood!
Yaani Mbeya to Moshi tulitumia siku tatu kufika Tanga!
Baada ya kufika Tanga nikajiongeza nikaachana nao!
Hii hood ndo niliikuta mimi walivotoka hapa ndo wakahamia kwenye marcopolo hizi new model
images%20(8).jpg
 
Ni sawa ila Abood hata bure sipandi safari ndefu...ila DSM -Moro fresh na hizo gari mpya zinawekwa route ya Dar-Moro
Mjanja sana ameleta mpya route ya karibu ili asijichoshe yale mabovu ndo kayapeleka route za mbali
 
Back
Top Bottom