Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu habarini za mchana nipo kwenye bus la jmc natoka singida-Dar kimetokea kituko gari nzima hawana mbavu tulipitia hapo nala kula kihotel...

Fulani ivi konda katoa info kuwa kuchimba dawa
Na kula ni dakika 10 tu sasa kuna dada sijui aliingia kuny#[emoji16][emoji16] sijui ndo kujiremba sana dk10 kuisha dereva kaondoa mchuma tunafika hapa kisasa dom
Ofisi za jmc abiria walikuwa wanashuka kumbe yule
Dada kafkuzia na boda kafika sisi tumeshatoka..

Tunafika nanenane gari inashusha abiria mawakala..
Wa jmc wanapiga simu kuwa kuna abiria ameachwa
Kumbe kapanda na ndugu yake humu ndani siti moja
Dada kafkuzia hadi karibu na kibaigwa dereva kwa huruma kasimamisha kufika boda Anadai 20k dada anaambiwa atoe ela anasema hana adi afike dsm konda kalipa uyu dada kupanda eti anapandisha..
Majini kwa kuachwa na bus. Hii ya leo kali[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Vizuri sana asee Tumetaga na Happy nation Gairo saa moja sasa ivi .
 
Furahisha ya kahama, nilikata tiketi wakaniambia inaenda Mwanza imefika siku ya safari gari haiindoko ubungo mpaka saa moja katika abiria kulalamika ndio tukajua humo ndani kuna abiria wa mwanza, kahama, bukoba, kagera, kigoma, dodoma, geita, na mmoja alikuwa anaenda nje nimesahau ni burundi au. Ile safari mpaka nimekuja kufika mwanza siku ya 2 yake sina hamu maana walikataa kutufaulisha magari mengine wakakataa na kurudisha nauli. Mwisho wa siku wote tukaenda kuachwa kahama saa 10 usiku ndio kila mtu atafute gari la kwenda anapoenda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hilo ata mbinguni linaenda
 
[emoji1][emoji1][emoji1] noma Sana aisee
 
Mzee wa chumvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Happy nation ya mbeya jamani yani mnafika makambako saa 3 kuelekea 4 usiku dah
Tatzo watu wanakua na vichwa vigumu,mtu huwezi kuwa mbabe wa route zote,mbeya tunduma panda sauli au newforce,bukoba panda Happy nenga tena sasa iv wana chuma mpya inaitwa mlete mzungu[emoji1787],moshi arusha kuna Blasto makundi,mwanza kuna allys lkn pia ujue kuchagua chuma za mbele
 
Wewe n premium member
 
Anazuga huyo hana hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijaelewa mwaka 1990 hii au??
KAMATA(kampuni ya mabasi ya taifa)kama ulizaliwa kuanzia 91 huwezi lijua mkuu their challenger was Tanzania railway corporation(road service)enzi za Leyland clydesdale(CD),leyland victory baadae wakaleta TATA na huo ndio ukawa mwisho wao NB Railway wao waliishia kwenye CD japo wamewahi kuwa na scania(LBT 111) kwa uchache.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna basi lilikua linaitwa Ng'itu km sijakosea, Dar to Mtwara, nilipanda kitambo Kuna kipande kikubwa hakikuwa na lami, dereva alikuwa anaendesha kama ana sedan, mdogo mdogo hatari, kulikuwa na basic silijui jina rangi ya kijani lilitupa utafikiti dereva yupo kwenye lami. Mbele tukalikuta puncture jamaa Wana change tairi tukawapita, ebana mara jamaa hao wakatupita Tena kama tulisomama.

Safari ilikuwa ndefu nlijuta kupanda, Babu yangu Tanga ndio Ali recommend tupande Hilo mana ndio salama
 
[emoji38][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…