Furahisha ya kahama, nilikata tiketi wakaniambia inaenda Mwanza imefika siku ya safari gari haiindoko ubungo mpaka saa moja katika abiria kulalamika ndio tukajua humo ndani kuna abiria wa mwanza, kahama, bukoba, kagera, kigoma, dodoma, geita, na mmoja alikuwa anaenda nje nimesahau ni burundi au. Ile safari mpaka nimekuja kufika mwanza siku ya 2 yake sina hamu maana walikataa kutufaulisha magari mengine wakakataa na kurudisha nauli. Mwisho wa siku wote tukaenda kuachwa kahama saa 10 usiku ndio kila mtu atafute gari la kwenda anapoenda.