Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Nipanda Fikoshi dodoma kwenda Musoma kumbe wahuni wanatufaulishia Mwanza. Niliwamind kinoma.......basi bayaaaaaaaaaa..........[emoji35]
 
Nipanda Fikoshi dodoma kwenda Musoma kumbe wahuni wanatufaulishia Mwanza. Niliwamind kinoma.......basi bayaaaaaaaaaa..........[emoji35]
Alafu SITI zake 2 by 3
 
City Boys
 
Air Msae enzi hizo, Arusha - Dar

Tulipofika tu Moshi stendi pale, safari ikaingia kutu maana gari ikaanza mwaga oil kama mtu anayetapika...

Huku na kule injini ikashushwa na mchezo ukaishia hapo...
 
Happy nation, jamani lile gari siti ndefu ukikaa huwezi kunyoosha miguu kabisa, alafu bovu ,linanyata , Dar to Mbeya tulifika saa tano usiku, Ila Rungwe ndo balaa, Dar to mbeya tulifika saa sita usiku.
Mabasi mawili tofauti ila safari Moja, abiria mmoja na arrival time tofauti?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…