Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Nipanda Fikoshi dodoma kwenda Musoma kumbe wahuni wanatufaulishia Mwanza. Niliwamind kinoma.......basi bayaaaaaaaaaa..........[emoji35]
 
Ivi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.

Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.
City Boys
 
Air Msae enzi hizo, Arusha - Dar

Tulipofika tu Moshi stendi pale, safari ikaingia kutu maana gari ikaanza mwaga oil kama mtu anayetapika...

Huku na kule injini ikashushwa na mchezo ukaishia hapo...
 
Happy nation, jamani lile gari siti ndefu ukikaa huwezi kunyoosha miguu kabisa, alafu bovu ,linanyata , Dar to Mbeya tulifika saa tano usiku, Ila Rungwe ndo balaa, Dar to mbeya tulifika saa sita usiku.
Mabasi mawili tofauti ila safari Moja, abiria mmoja na arrival time tofauti?!
 
Back
Top Bottom