luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 846
- 1,394
Dar lux imeshapoteana kiongozi basi lamwisho liliangua lilikuwa DRR wanazi waliliita yatima, kampuni tanzu Tanzanite ametoka kwenye ramani pia
Ameshayauza kwa libanika transTanzanite mbona bado zipo za kahama
Biashara ngumu kiongozi, aliuza kwa libanika piaTanzanite si walikua wameagiza higer mpya namba EBL kama sijakosea
Juzi nimeona nayo imeuzwa kwa Zuberi
Bado kuna sehemu porini huko hakuna cha ushindani gari ni moja au mbili tarafa nzima.Miaka hii kuna ushindani mkubwa na uwekezaji kwenye nyanja ya usafirishaji kila mtu anakuja na vitu vya hatari aisee.
Lindi nimeshangaa nimepanda coaster mchana saa9 ili nishukie Nangulukulu umbali wa km 165 tumetumia masaa 4 barabara haiko busy dereva anatembea mwisho 60 kila kijiji kambi kisa gari ni la mwisho!Bado kuna sehemu porini huko hakuna cha ushindani gari ni moja au mbili tarafa nzima.