tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
OK sawa,nikajua MbeyaNilikua natoka Dar-Iringa
Niko poa sana, habari ya weekend??
Weekend ni flue tu hapa imenibana.So home ni kwa Mkwawa hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK sawa,nikajua MbeyaNilikua natoka Dar-Iringa
Niko poa sana, habari ya weekend??
Juzi nipo msamvu hapo mzee wa watu maskini kqja kuulizia sauli ya mbeya inayotoka dar bei aliyo ambiwa adi nilimuonea huruma[emoji23][emoji16] usijaribu kukata ticket kwa wapiga debe hapo hapo nikatafuta namba za dereva wa dsm wa bus la jmc naulizia nafasi naambiwa zimejaa kulivo kucha nikaenda ofisi zao pale pale msamvu nikamkuta dada mmoja nikauliza nafasi zipo kwa gari inayotoka dsm kampigia konda wa gari akamwambia zipo nauli yule dada ananiambia 35k hadi kiomboi singida bus limekuja ananikabidhisha kwa konda nashangaa anatoa 30k [emoji23][emoji16] ikabidi nicheke.yaani tangu wakati huo mimi huenda stand tu. nitakalokuta ndilo napanda.....na sasa hivi kuna mtindo wa hovyo sana unakwenda siku mbili kabla ya safari, unaonyeshwa chat imejaa. siku ya safari ukifika unakuta wanapiga debe basi hilo hilo liko wazi. Niliwahi kufanyiwa hivyo na kimbinyiko dodoma, ikanichefua moja kwa moja.
Juzi nikiwa natafuta usafiri wa kwenda mbeya, ofisi ya sauli urafiki wamenifanyia hivyo hivyo. Nilimkuta dada mmoja ana sura kama jembe, sina hamu na mabasi ya Sauli
Mwendo wa kawaida tu ila bovu humo ndani n purukushan alafu huduma zake mbaya. Ila kuna hilo moja bwana kadogo dogo kanaitwa pasific air bus jaman jaman 😂 sitasahau nilipandia Dom kurudi Iringa aisee picha linaanza ndani bus zima limejaa vumbi. Nilitoka Dom sa7 mchana nikafika Iringa sa3 usiku.🤣🤣🤣 Mwendokas au?
Mbeya ndio nyumban my dear...nimetoka huko kama week hivi.OK sawa,nikajua Mbeya
Weekend ni flue tu hapa imenibana.So home ni kwa Mkwawa hapo?
[emoji16][emoji23]Mwendo wa kawaida tu ila bovu humo ndani n purukushan alafu huduma zake mbaya. Ila kuna hilo moja bwana kadogo dogo kanaitwa pasific air bus jaman jaman [emoji23] sitasahau nilipandia Dom kurudi Iringa aisee picha linaanza ndani bus zima limejaa vumbi. Nilitoka Dom sa7 mchana nikafika Iringa sa3 usiku.
Nilipanda Happynation nilijua sijui 😂😂😂Bola upande golden deer au newforce na sauli kwa safari ya mbeya tunduma sipandi tofaut na hayo
Bei ya mwewe yenyewe sasa[emoji119][emoji16] ila bus linachosha jamani siku 3 nimesafiri nimefika juzi natokea iringa nikaunga moro mpaka singida kiomboi hapa nauguza mafua yangu na homa juu.Ila muda mwingne kama mfuko unasoma bora kupanda mwewe tu, mabus mengi mizinguo.
[emoji16][emoji81] ila waziri anae husika na maswala ya usafirishaji aaangalie sana hili jambo kumekuwa na tabia ma-customer care wa ofisi za mabus kujiongezea bei za tickets kwa wateja juzi naulizia tickets kwenye happnation msamvu-singida eti 40k nikaenda jmc msamvu-kiomboi maana singida ipo nyuma kiomboi ipo mbele naambiwa 35k waziri ashugulikie hili hata kama bei za mafuta ziko juu ila wamekithiri.Nilipanda Happynation nilijua sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Aisee pole sana.Bei ya mwewe yenyewe sasa[emoji119][emoji16] ila bus linachosha jamani siku 3 nimesafiri nimefika juzi natokea iringa nikaunga moro mpaka singida kiomboi hapa nauguza mafua yangu na homa juu.
Lini hapa nimepanda bus ndogo kwenda Mbeya toka Iringa baada ya nauli kupanda ilikua 15k lkn nililipa 20k nawaza ile 5k imeongezeka lini mbwa hawa. Na wakali kweli alafu gari zote nauli ile ile nikaona isiwe tabu nikawapa hela yao.[emoji16][emoji81] ila waziri anae husika na maswala ya usafirishaji aaangalie sana hili jambo kumekuwa na tabia ma-customer care wa ofisi za mabus kujiongezea bei za tickets kwa wateja juzi naulizia tickets kwenye happnation msamvu-singida eti 40k nikaenda jmc msamvu-kiomboi maana singida ipo nyuma kiomboi ipo mbele naambiwa 35k waziri ashugulikie hili hata kama bei za mafuta ziko juu ila wamekithiri.
Yani hii tabia sio ukikatia ticket nje yq ofisi hata haohao wenye ofisi bei ni zile zile kiukweli wamiliki wa mabus waliangalie hili watu wameamua kutembelea upepo wa bei za mafuta kupanda.Lini hapa nimepanda bus ndogo kwenda Mbeya toka Iringa baada ya nauli kupanda ilikua 15k lkn nililipa 20k nawaza ile 5k imeongezeka lini mbwa hawa. Na wakali kweli alafu gari zote nauli ile ile nikaona isiwe tabu nikawapa hela yao.
Wanasingizia hivyo hivyo eti mafuta yamepanda, kazi tunayoYani hii tabia sio ukikatia ticket nje yq ofisi hata haohao wenye ofisi bei ni zile zile kiukweli wamiliki wa mabus waliangalie hili watu wameamua kutembelea upepo wa bei za mafuta kupanda.
Hakika! Yaani basi unakaa hadi unachoka inabidi usimame uupumzishe mwili na ni safari fupi tu🙆Haswaaa! Saiv mambo yamebadilika hatuangalii bora safari kufika mapema comfotability nayo ni muhimu unapanda bus ukifika lazima utafute panadol ilipo na ukandwe na maji ya moto.
Shabiby niliachana nao baada ya kuzozana kuhusu movie zao za kipusti.Shabiby.
Njiani wakaweka movies za kutafsiri kwa kiswahili. Za wahindi au wachina halafu kuna mtu anakutafsiria.
Sijapanda tena mpaka leo.
DragonMabus yao mengi bi higer
ilikwenda bure mzee maana hiyo lipa number huwezi hata kureverse transaction...lakini bado nakumbuka lipa number ya mabasi ya abc ni ya somebody ngairo. ni mfumo wa kitapeli tuKwaiyo pesa yako ikaenda bure mkuuu[emoji52]