Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

yaani tangu wakati huo mimi huenda stand tu. nitakalokuta ndilo napanda.....na sasa hivi kuna mtindo wa hovyo sana unakwenda siku mbili kabla ya safari, unaonyeshwa chat imejaa. siku ya safari ukifika unakuta wanapiga debe basi hilo hilo liko wazi. Niliwahi kufanyiwa hivyo na kimbinyiko dodoma, ikanichefua moja kwa moja.

Juzi nikiwa natafuta usafiri wa kwenda mbeya, ofisi ya sauli urafiki wamenifanyia hivyo hivyo. Nilimkuta dada mmoja ana sura kama jembe, sina hamu na mabasi ya Sauli
Juzi nipo msamvu hapo mzee wa watu maskini kqja kuulizia sauli ya mbeya inayotoka dar bei aliyo ambiwa adi nilimuonea huruma[emoji23][emoji16] usijaribu kukata ticket kwa wapiga debe hapo hapo nikatafuta namba za dereva wa dsm wa bus la jmc naulizia nafasi naambiwa zimejaa kulivo kucha nikaenda ofisi zao pale pale msamvu nikamkuta dada mmoja nikauliza nafasi zipo kwa gari inayotoka dsm kampigia konda wa gari akamwambia zipo nauli yule dada ananiambia 35k hadi kiomboi singida bus limekuja ananikabidhisha kwa konda nashangaa anatoa 30k [emoji23][emoji16] ikabidi nicheke.
 
🤣🤣🤣 Mwendokas au?
Mwendo wa kawaida tu ila bovu humo ndani n purukushan alafu huduma zake mbaya. Ila kuna hilo moja bwana kadogo dogo kanaitwa pasific air bus jaman jaman 😂 sitasahau nilipandia Dom kurudi Iringa aisee picha linaanza ndani bus zima limejaa vumbi. Nilitoka Dom sa7 mchana nikafika Iringa sa3 usiku.
 
Mwendo wa kawaida tu ila bovu humo ndani n purukushan alafu huduma zake mbaya. Ila kuna hilo moja bwana kadogo dogo kanaitwa pasific air bus jaman jaman [emoji23] sitasahau nilipandia Dom kurudi Iringa aisee picha linaanza ndani bus zima limejaa vumbi. Nilitoka Dom sa7 mchana nikafika Iringa sa3 usiku.
[emoji16][emoji23]
 
Ila muda mwingne kama mfuko unasoma bora kupanda mwewe tu, mabus mengi mizinguo.
Bei ya mwewe yenyewe sasa[emoji119][emoji16] ila bus linachosha jamani siku 3 nimesafiri nimefika juzi natokea iringa nikaunga moro mpaka singida kiomboi hapa nauguza mafua yangu na homa juu.
 
Nilipanda Happynation nilijua sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji81] ila waziri anae husika na maswala ya usafirishaji aaangalie sana hili jambo kumekuwa na tabia ma-customer care wa ofisi za mabus kujiongezea bei za tickets kwa wateja juzi naulizia tickets kwenye happnation msamvu-singida eti 40k nikaenda jmc msamvu-kiomboi maana singida ipo nyuma kiomboi ipo mbele naambiwa 35k waziri ashugulikie hili hata kama bei za mafuta ziko juu ila wamekithiri.
 
Bei ya mwewe yenyewe sasa[emoji119][emoji16] ila bus linachosha jamani siku 3 nimesafiri nimefika juzi natokea iringa nikaunga moro mpaka singida kiomboi hapa nauguza mafua yangu na homa juu.
😂😂😂 Aisee pole sana.
 
[emoji16][emoji81] ila waziri anae husika na maswala ya usafirishaji aaangalie sana hili jambo kumekuwa na tabia ma-customer care wa ofisi za mabus kujiongezea bei za tickets kwa wateja juzi naulizia tickets kwenye happnation msamvu-singida eti 40k nikaenda jmc msamvu-kiomboi maana singida ipo nyuma kiomboi ipo mbele naambiwa 35k waziri ashugulikie hili hata kama bei za mafuta ziko juu ila wamekithiri.
Lini hapa nimepanda bus ndogo kwenda Mbeya toka Iringa baada ya nauli kupanda ilikua 15k lkn nililipa 20k nawaza ile 5k imeongezeka lini mbwa hawa. Na wakali kweli alafu gari zote nauli ile ile nikaona isiwe tabu nikawapa hela yao.
 
Yani hii tabia sio ukikatia ticket nje yq ofisi hata haohao wenye ofisi bei ni zile zile kiukweli wamiliki wa mabus waliangalie hili watu wameamua kutembelea upepo wa bei za mafuta kupanda.
 
Yani hii tabia sio ukikatia ticket nje yq ofisi hata haohao wenye ofisi bei ni zile zile kiukweli wamiliki wa mabus waliangalie hili watu wameamua kutembelea upepo wa bei za mafuta kupanda.
Wanasingizia hivyo hivyo eti mafuta yamepanda, kazi tunayo
 
Haswaaa! Saiv mambo yamebadilika hatuangalii bora safari kufika mapema comfotability nayo ni muhimu unapanda bus ukifika lazima utafute panadol ilipo na ukandwe na maji ya moto.
Hakika! Yaani basi unakaa hadi unachoka inabidi usimame uupumzishe mwili na ni safari fupi tu🙆
 
Shabiby.

Njiani wakaweka movies za kutafsiri kwa kiswahili. Za wahindi au wachina halafu kuna mtu anakutafsiria.

Sijapanda tena mpaka leo.
Shabiby niliachana nao baada ya kuzozana kuhusu movie zao za kipusti.
 
Back
Top Bottom