Juan-Gonzalez
New Member
- Sep 15, 2022
- 2
- 2
Upendo dar to makambako, gugari gunapiga kelele kama gutipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee hamkufaulishwa
Hao ni City Boys. Walifungiwa kufanya biashara baada ya kifungo kuisha wakarudiIvi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.
Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.
Hapana, waliagiza injini nyingine toka chugga, ikafungwa na safari ya kuelekea Dar ikaanza kwenye saa 9 mchana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawajaachana mbali na Saibaba [emoji28][emoji28]
Sasa iv 55 k mkuuAllys star unafika mapema sana, kwa sasa nauli yao sijui maana nauli zimepanda. Hapo kabla ilikuwa 35
Sasa interview ilikuaje mkuuSAIBABA,
Nilikua nasafiri kutoka dar kwenda arusha kwaajili ya interview, safari jumapili interview jumatatu,
nilikata tiketi siku mbili kabla ya safari, siku ya safari nafika stand wananiambia gari yangu imeondoka wananipa gari nyingine ya saa mbili, kumbe gari halijaondoka ila lilikua halijajaza, nimekaa kwenye gari hadi saa8 mchana ndio inatoka wakasema ata kama saa6 usiku lazima tuingie arusha siku iyoiyo,
mwendo tuliokua tunaenda njiani kama msafara wa msiba wa malkin Elizabeth
Tunafika same saa6 usiku dereva na konda wakatuacha kwenye gari wakaenda kulala wanapojua wao wanarudi saa2 asubuhi jumatatu, tunaingia arusha saa6 mchana nikafika hadi sehemu tuliyotakiwa kufanya interview nimechelewa na watu wote wameondoka ilikua chuo cha uhasibu arusha.
Iyo safari sitaisahau na SAIBABA sitalisahau.
Duh walikukatili sana *****SAIBABA,

Zinazovuka border au local?Gari za kenya mara zoote huwa zinaniangusha
Huwa ni maroli yaliyofanywa mabasi,kuna moja charger ni plag ya chaja badala ya usb,na ukipanda wanakaguliwa kila kituo.viti na bodi huwa vimechoka.