The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
pia kuna Isamilo mpya kabisa nauli 50,000/ndiyo nakuja nayo Dar,Moro tumeshapita kitambo ,tunaitafuta Chalinze.Darlux full AC mwendo wa wastani unaenyoy safari
Jamani kwa kweli hizi vipima mwendo ni mateso yani unakaa kwenye gari kila style kila kitu kinauma.pia kuna Isamilo mpya kabisa nauli 50,000/ndiyo nakuja nayo Dar,Moro tumeshapita kitambo ,tunaitafuta Chalinze.
UsikuSaa 7:30 za usiku au asubuhi yake?
Kisbo
Ukipanda hii Gari hakika.. Utakuwa shida kwenye ubongo wako...KISBO baba lao