Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza ambayo hailali Morogoro, huduma nzuri na luxury?

Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza ambayo hailali Morogoro, huduma nzuri na luxury?

Mwezi wa 10 nilipanda Dar lux niliingia mwanza saa 9.10 usiku.Mwanza Chenga sana.
 
Sheria gani ibayovunjwa?
Gari gani linalala morogoro?
Sasa magari hayazuiwi kusafiri baada ya saa sita
Nakushauri kama una fedha ya kutosha panda Air Tanzania, achana na mabasi yanalala Morogoro labda kama wanvunja sheria..itaakuwaje Kamanda akichachamaa siku unasafiri? Utalala njiani..
 
pamoja na madereva wa mabasi kutembea mwendo kasi na kuhatarisha maisha yenu lakini mnaona bado hawatembei? achane masikhara ukiona umefika salama safari yako shukuru au hata kama una buku la maji mlinde suka, umbali ule huku una dhamana ya roho za watu wa kila aina, kuna wema, waovu, wachawi, watu wa dini, wasio itambua dini, wezi, wasaliti, watoto, matajiri na pengine kuna mmasai mmoja hahah alafu unaona chuma aitembei? acheni masikhara ukifika salama shukuru lakini hakuna watu wanaendesha hovyo kama madereva wa bus yuko tayar afagie watu pembeni ya barabara lakini awahi kufika we unafika sa9 from kigoma to dar bado unaona umechelewa? gari ni machuma na umeme usisahau
 
Norshad,
Mkuu kifo hakina kukwepa, siku yako ikifika (exactly) haupotezi hata sekunde. Kumbuka hapa siongelei kafara na vitu vingine kama hivyo, nazungumzia natural death.
 
Kwan kuna gari ya mwanza inayolala Morogoro?
Hiyo safari utatumia siku ngapi kufika mwanza kama utalala Morogoro
 
Panda Dar lux mkuu
Darlux full AC mwendo wa wastani unaenyoy safari
 
Ally Star,na fasta na huduma zao nzuri.inayoka mwanza 12 asbh ubungo saa5 usiku.
Pia unachaji simu yako.na viti vyao ni very comfortable,,,,Two by Two
 
Hawa Ally's Ni noma zuri Sana lipo fasta
Comments zote za wadau nime shawishika na Hawa jamaa Ally's.
Mwanza to Dar nauli kiasi gani?


Dar Lux niliwahi soma uzi humu kuwa hawana huduma nzuri. Gari nzuri ila uswahili mwingi.

Kisbo nazo duuuh!!!
 
Back
Top Bottom