Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Hahahaaaa hii bus niliwahi panda nikiwa natoka Maswa to Mwanza mvua ikaanza kunyesha tukiwa safarini, hahahaaaa uuwiiiiii ni inavuja mno tulisafiri kwa tabu sana ile siku
Hyo n meatu - mwanza ndo zimechoka Ila za MZA - MORO/DOM zipo njema n luxury kabisa