pamoja na madereva wa mabasi kutembea mwendo kasi na kuhatarisha maisha yenu lakini mnaona bado hawatembei? achane masikhara ukiona umefika salama safari yako shukuru au hata kama una buku la maji mlinde suka, umbali ule huku una dhamana ya roho za watu wa kila aina, kuna wema, waovu, wachawi, watu wa dini, wasio itambua dini, wezi, wasaliti, watoto, matajiri na pengine kuna mmasai mmoja hahah alafu unaona chuma aitembei? acheni masikhara ukifika salama shukuru lakini hakuna watu wanaendesha hovyo kama madereva wa bus yuko tayar afagie watu pembeni ya barabara lakini awahi kufika we unafika sa9 from kigoma to dar bado unaona umechelewa? gari ni machuma na umeme usisahau