Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Hahahaaaa hii bus niliwahi panda nikiwa natoka Maswa to Mwanza mvua ikaanza kunyesha tukiwa safarini, hahahaaaa uuwiiiiii ni inavuja mno tulisafiri kwa tabu sana ile siku
Darlux wengine Allys na wengine happy nation.
Ooh sawa mkuu hata hivyo ilikua ni muda mrefu sanaHyo n meatu - mwanza ndo zimechoka Ila za MZA - MORO/DOM zipo njema n luxury kabisa
Dar Lux, Ally's chafu ndani
Gari za MZA_DOM nyingi nzuri...nahisi sababu ya ukatibu ndio maana huwa nahisi kabisa DAR_MZA huwezi pata luxury sababu ukiwa umbali tu, Hata Isamilo Mza_DOM tamu Sana!!!/Panda satco ya mwz-dom utatamani safari isiishe, ukifika dom kula bata kidogo then kutoka dom kwenda dar gari nyingi ni luxury
Bus no 1 kwa njia ya dar mwanza kwa sasa ni ALLYS SAA 5 KAMILI UPO MWANZA USIKUJana na Leo nipo hapa Mkolani Ally's saa 2302 Jana leo 2306 kashafika!!!
Gari za MZA_DOM nyingi nzuri...nahisi sababu ya ukatibu ndio maana huwa nahisi kabisa DAR_MZA huwezi pata luxury sababu ukiwa umbali tu, Hata Isamilo Mza_DOM tamu Sana!!!/
Kumbuka na Bei itakuwa juu Sana Kama hizi semi_luxury tu zunafika mpk 45K na 50K hiyo luxury Bei yake nahisi itakuwa unaongeza Bei ya bia kadhaa tu unapenda BOMBADIA...Nadhani ni hasara kuweka luxury kwenye route ndefu
Mimi huwa nikifika Morogoro huchukua bodaboda, ni chap tu kitu hicho kipo Dar saa sita.Naomba msaada wa kufaham gari nzuri ya mwanza -Dar ambayo hakuna kulala morogoro. Watu wengine wanasema Darlux wengine Allys na wengine happy nation.
Naomba wenyeji mnisaidie kujua ipi nzuri hapo na ya uhakika.
Natanguliza shukrani.
Ally Star,na fasta na huduma zao nzuri.inayoka mwanza 12 asbh ubungo saa5 usiku.
Pia unachaji simu yako.na viti vyao ni very comfortable,,,,Two by Two
Chukua pipa achana na kusafiri masaa 18 barabarani ukifika unaugulia siku 2Ninatarajia kusafiri kesho kwenda mwanza tafadhali basi zuri Ni lipi