Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

JAMIIFORUMS
-Mnalipa kodi
-Mnalipa pango,maji,umeme
-Mnanunua mitambo
-Mnalipa mishahara na viinua migongo.
-Mnanunua vifaa,mnafanya marekebisho
-Hamfanyi matangazo
-Mnalipia gharama za kesi mahakamani
-Mnalipia server,vibali.
Mr. Melo, mnatengenezaje faida.
 
Hili biashara ya uwakala mpesa/tigopesa wanapataje faida?

Wahusika ukiwauliza wanakuwa na majibu mepesi mepesi kama CCM ya kuwa inategemeana na idadi ya miamala ulofanya. Kwanini Hawana hesabu kamili kwamba Kila buku chako ni kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom