Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

Duka la vyupi, duka la jumla ye ananunua elf 9 anauza elf 10...means faida buku.
Kodi laki na nusu kwa mwezi, muuzaji mshahara laki na nusu bado kula nauli. 🤔
Kama anatoa mzigo mwingi kwa wakati mmoja inalipa hasa kwa walio kariakoo !
Huku mtaa kwa mtaa inabidi uuze reja reja ndo ina faida pia uongeze na vitu vingine mfano urembo wa kina dada kope , make up , kucha n.k hapo ndo utaona faida !

Kipindi cha nyuma ungeweka na vipodozi vya kuchubua zile sabuni za Mekako , Jaribu na lotions za G.G dukani watu hawakatiki 😂😂
 
Biashara yeyote hua inaleta faida....Kitu mimi sielewi ni jinsi ile biashara inamfanya mtu aendeshe maisha unakuta mdada anauza shanga & culture, unakuta wale jamaa wanaouza vle vidude unabandika ukutani instead ya kugongelea misumari
 
Hao watu huwa nashangaa sana. Kuna mtu anauza papuchi mtaani kwa bei ya 7000 mpaka 15000 lakini anakaa kwao na shida haziishi. Kuna muda siku za marejesho anahaha hadi kuanza kuweka bond vitu vyake.
Hela inaishia kwenye nguo,urembo na chakula, kula sn muhimu maana kukatikia mitwangio mingi afu size tofauti lazima ule vizuri ushibe
 
Hao watu huwa nashangaa sana. Kuna mtu anauza papuchi mtaani kwa bei ya 7000 mpaka 15000 lakini anakaa kwao na shida haziishi. Kuna muda siku za marejesho anahaha hadi kuanza kuweka bond vitu vyake.
Shida wateja wake sio wa kila siku. Kuna siku moja unapata order mbili hadi tatu na unaweza ukakaa wiki nzima Wana hawakuiti.
 
wauza spea za magarii
Spea ni biashara yenye pesa sana muhimu ujue jinsi ya kuifanya... Kwanza location pili connection kuanzia kwa wenye magari, mafundi wa magari madogo na makubwa pia wenye gereji ukisha jiunganisha na hao watu na kufanya nao kazi utafaidi duka la spare...

Pia unapoenda kuchukua mzigo fanya research maana maduka yanatofautiana bei halafu huko kwenye mizigo pendelea kununua sehemu moja maana siku hizi kila tajiri na mteja wake,,,, mkishakua vizuri na ukiwa na mzunguko mzuri ukienda kwa tajiri kununua mzigo eg wa ml 20 anakupa tena wa mil 20 unauzungusha na pesa unapata huku ukilipa ule ulioongezewa
 
nmekupata sana mkuu🙌
 
Back
Top Bottom