fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
aah yaaNi naona wengi unakuta ana kiduka kidogo tu yaan afu anaishi vzr ndk huwaga najiuliza hiki kiduka mtu anapataje hela aisee mbna duka dogo afu ana hela nyng nashndwaga kuelewa sjui umenielewa hapo😂😂Asee bro uko serious kweli? Biashara ya spare parts za vyombo vya moto inalipa balaa mtu anaweza kuwa na duka ambalo kimuonekano ni dogo lakini akaishi maisha mazuri sana