Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

Japo mwenyewe nafanya biashara ya uwakala lakini sioni faida najiuliza wenzangu wanapataje faida [emoji3][emoji3][emoji3] vicommission vidogo dogo sijui sh 20, 30... kodi ya frame 150,000/= × 6 unategemea itarudi vipi?
Kuna wanao Pata commission hadi M kwenye till moja tu... Kikubwa mtaji na mzunguko wa biashara... Kama mteja akitaka kutoa M2, 3..... Huna utapataje commission ya M??
 
Bila kusahau na wanasiasa nahisi huwa Wana contribute indirectly or direct way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…