Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

Kila jukwaa ni lazima muingize siasa? Jukwaa la siasa halitisho kufanyia siasa na humu mkaacha kwa ajili ya mambi serious? Nazani Melo pia hakuwa mjinga kuweka aina nyingi ya majukwa, shida wajinga sasa kama nyie kila sehemu ni siasa, mkisha kuwa mmeshiba Chai Vitumbua na mnamilika smart phone mnawaza ujinga tupu asubuhi hadi jioni.
kwahyo unamuona melo mjanja sana kwako au sio..... acha mtu abonge vile inampendeza kaona uchawa unalipa na watu hawajastukia mchongo kaamua kuandika.....
 
Kila jukwaa ni lazima muingize siasa? Jukwaa la siasa halitisho kufanyia siasa na humu mkaacha kwa ajili ya mambi serious? Nazani Melo pia hakuwa mjinga kuweka aina nyingi ya majukwa, shida wajinga sasa kama nyie kila sehemu ni siasa, mkisha kuwa mmeshiba Chai Vitumbua na mnamilika smart phone mnawaza ujinga tupu asubuhi hadi jioni.

Mkuu mbona upo serious sana? Maisha ya TANZANIA hayapo serious kihivyo. Kwani hakuna uchawa nje ya siasa?
naona uchawa kwenye biashara (dotto magari), mpira, burdani nk.
Uchawa ni njia ya kujipatia kipato kama njia nyingine zozote zile. Kama unabisha muulize Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
 
Biashara zipo nyingi kwa kijijini
Uza nafaka,bara na kwa mjini uza chakula,vinywaji
 
Ukahaba. Mwanamke akijizima data na kuweka pembeni hofu ya kuonekana hana maadili akifanya hii biashara seriously inamtoa kimaisha.
 
Kwa jinsi mbususu zilivyopanda bei kwa kweli wanaweza kuwa bilionea kupitia mtaji wa mbususu
 
Back
Top Bottom