Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

Attachments

  • IMG-20240710-WA0021.jpg
    IMG-20240710-WA0021.jpg
    127.4 KB · Views: 3
Naina watu mnaumiza Sana vichwa unaangalia mtaji unao hata 5M. Lakini uhakika Wa kupata faida 30,000 ya uhakika pasipo presha yeyote Hauna.

Kuna project ambayo inakuwezesha kupata faida ya 400% ya ulichowekeza kwa MDA Wa miezi 12. Let's say umewekeza 5M maana yake baada ya mwaka mmj unakuwa na 20M. Ambayo security yake na uhakika ni 100%. Kama utaitaji kufahamu zaidi unaweza kunicheki kwa namba 0746785704,0628354523. Nipo Dar. Ofisi za huo mradi zipo Dar pia. Karibu.
Mtego huu
 
Siri IPO bidhaa zinapotoka... jifunze kuvuka mipaka ya nchi yetu...utakuja kunishukuru...!

Hapo Zambia tu hapo Kuna madeal mengu ukiyachukua ukayaleta TanzaniA ni pesa tu​
 
Ukahaba. Mwanamke akijizima data na kuweka pembeni hofu ya kuonekana hana maadili akifanya hii biashara seriously inamtoa kimaisha.
😀 😀 Duuh hii bana si kweli kibongo bongo, wanaotoboa huko wachache sana. Sijui lakini kutoa kimaisha kwa wewe unavyomaanisha.

Wapo wajanja ambao wanai compliment na shughuli nyingine kidoogoo wanazoea. Kuna sister nilipata stori yake moja anapenda mahotel na mabosi, bata maeneo kama hotel verde, kempinsy, grand melia. lakini kaamua kwenda kuajiriwa tu halmashauri fulani
 
Siri IPO bidhaa zinapotoka... jifunze kuvuka mipaka ya nchi yetu...utakuja kunishukuru...!

Hapo Zambia tu hapo Kuna madeal mengu ukiyachukua ukayaleta TanzaniA ni pesa tu​
Weka hata ka list kafupi mkuu ka hizo bidhaa...
 
Back
Top Bottom