Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

Mtego huu
 
Siri IPO bidhaa zinapotoka... jifunze kuvuka mipaka ya nchi yetu...utakuja kunishukuru...!

Hapo Zambia tu hapo Kuna madeal mengu ukiyachukua ukayaleta TanzaniA ni pesa tu​
 
Ukahaba. Mwanamke akijizima data na kuweka pembeni hofu ya kuonekana hana maadili akifanya hii biashara seriously inamtoa kimaisha.
😀 😀 Duuh hii bana si kweli kibongo bongo, wanaotoboa huko wachache sana. Sijui lakini kutoa kimaisha kwa wewe unavyomaanisha.

Wapo wajanja ambao wanai compliment na shughuli nyingine kidoogoo wanazoea. Kuna sister nilipata stori yake moja anapenda mahotel na mabosi, bata maeneo kama hotel verde, kempinsy, grand melia. lakini kaamua kwenda kuajiriwa tu halmashauri fulani
 
Siri IPO bidhaa zinapotoka... jifunze kuvuka mipaka ya nchi yetu...utakuja kunishukuru...!

Hapo Zambia tu hapo Kuna madeal mengu ukiyachukua ukayaleta TanzaniA ni pesa tu​
Weka hata ka list kafupi mkuu ka hizo bidhaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…