Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?


Mkuu hii biashara ni pasua kichwa na tatizo ni vijana wengi walevi na wajinga
 
Hahahahaha!
Daah imebidi nicheke kwanza maana

Asante! Sana karibu bro, yule bint anapambana na viwanda vya mzee Jpm
 
Kilimo pasua kichwa sana. Kuna jamaa yangu kajaa seminar za speakers kaenda Kulima papai. Sasa hivi mpole.

Changamoto shambani, changamoto sokoni tabu tupu.

😅😅bora huyo..kuna mmoja aliingia king akayalima haswa...!akasema atawakusanya wakina mama awape kila mama papai 100!sijui wamletee hela kila mtu 70000!huzo hesabu alikia ananipigia mm😅!kufupisha stry aliishia kuwa anayaleta kazini watu wanachukua 1 au 2...yakamdodea ....mengine yalianguka na upepo !wal wamama wakamtosa...wakachukua kila mtu 10 tu...!
 
Biashara biashara..chamoto haswa

Tatizo letu kubwa hua hatui na taarifa sahihi tunapofanya maamuzi hasa ya kwenye kilimo , hapo tu...ukiwa na elimu sahihi na taarifa sahihi, tayari uko nusu ya safari, hata maamuz utakayofanya hayawi sawa na kubeti, una uhakika % fulani, umeacha unajua n kwann umeacha, ama ukiingia shamba unakua unajua fika na uko aware na unachoenda fanya
 

Mkuu soko letu la kilimo halina utafiti, linabadilika dakika moja. Hebu toa mfano halisi wa kufanya utafiti wa soko then ndio uuze. Labda kuna sehemu tunafeli.

Mfano
Unafanya utafiti wa Tangawizi unakuta bei nzuri Nairobi, Unalima mara Serekali imekataza kuuza Kenya. Hasara
 
Kuna swali wakuu wamekuuliza ungejibia hilo swali tungepata kukupa michongo kulingana na ulipo. Swali lenyewe umeulizwa uko wapi i mean mkoa gani na mji gani? Tuambie tukuonyeshe fursa za ulipo.
Nipe michongo ya Mwanza mkuu
 
Hapo unakua hujafanya utafiti mkuu, unatakiwa ujue policy zetu ni unpredictable mno , at anytime zinabadilika...so kabla hujaenda huko ujue hilo

Yako mazao mengi sana ambayo unaweza uza hapa hapa , hayakuhitaji uende huko nje, hayana changamoto ya bei kua unpredictable muda wote ,soko liko... Ni swala la wewe kukaa chini na kutuliza kichwa , unapata elimu , unapata na taarifa kuhusu unachotaka kufanya , then unaingia shamba...

Faida siku zote kwenye kilimo inategemea quantity ..kwa bidhaa zetu za kawaida.. Lakn pia ,zipo bidhaa ambazo zinategemea vyote, quantity na quality...do your home work bro... Chukua njia moja , kufa nayo ...utakuja kusema hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…