Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Tatizo watu wanakubaliana bila kusainishiana mkataba. Andika mkataba wenye kipengele cha: ikitokea boda imeibiwa yeye atawajibika kuilipa na kama akiwa ameibiwa kweli(kuporwa) aruhusu uchunguzi wa polisi na ikibainika kweli afidie nusu ama robo ya gharama ya boda iliyoibwa. Mikataba mambo yote akikuruka unakuwa nao mkataba wa kwenda kumshughulikia kisheria.
Mkuu hii biashara ni pasua kichwa na tatizo ni vijana wengi walevi na wajinga