Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Tatizo watu wanakubaliana bila kusainishiana mkataba. Andika mkataba wenye kipengele cha: ikitokea boda imeibiwa yeye atawajibika kuilipa na kama akiwa ameibiwa kweli(kuporwa) aruhusu uchunguzi wa polisi na ikibainika kweli afidie nusu ama robo ya gharama ya boda iliyoibwa. Mikataba mambo yote akikuruka unakuwa nao mkataba wa kwenda kumshughulikia kisheria.

Mkuu hii biashara ni pasua kichwa na tatizo ni vijana wengi walevi na wajinga
 
Dogo habari za siku, naona siku hizi umeelimika unapita kwenye nyuzi kama hizi hongera sana. Nitakutafuta nimeona una kitu cha ziada nimekuona kwenye nyuzi mbalimbali japo huwa si changii maana mm huwa ni mpenzi wa kusoma na kuondoka. Kwahiyo yule pimbi mwenzako yuko wapi siku hiz
Hahahahaha!
Daah imebidi nicheke kwanza maana

Asante! Sana karibu bro, yule bint anapambana na viwanda vya mzee Jpm
 
Kilimo pasua kichwa sana. Kuna jamaa yangu kajaa seminar za speakers kaenda Kulima papai. Sasa hivi mpole.

Changamoto shambani, changamoto sokoni tabu tupu.

😅😅bora huyo..kuna mmoja aliingia king akayalima haswa...!akasema atawakusanya wakina mama awape kila mama papai 100!sijui wamletee hela kila mtu 70000!huzo hesabu alikia ananipigia mm😅!kufupisha stry aliishia kuwa anayaleta kazini watu wanachukua 1 au 2...yakamdodea ....mengine yalianguka na upepo !wal wamama wakamtosa...wakachukua kila mtu 10 tu...!
 
[emoji28][emoji28]bora huyo..kuna mmoja aliingia king akayalima haswa...!akasema atawakusanya wakina mama awape kila mama papai 100!sijui wamletee hela kila mtu 70000!huzo hesabu alikia ananipigia mm[emoji28]!kufupisha stry aliishia kuwa anayaleta kazini watu wanachukua 1 au 2...yakamdodea ....mengine yalianguka na upepo !wal wamama wakamtosa...wakachukua kila mtu 10 tu...!
Biashara biashara..chamoto haswa

Tatizo letu kubwa hua hatui na taarifa sahihi tunapofanya maamuzi hasa ya kwenye kilimo , hapo tu...ukiwa na elimu sahihi na taarifa sahihi, tayari uko nusu ya safari, hata maamuz utakayofanya hayawi sawa na kubeti, una uhakika % fulani, umeacha unajua n kwann umeacha, ama ukiingia shamba unakua unajua fika na uko aware na unachoenda fanya
 
Mkuu soko letu la kilimo halina utafiti, linabadilika dakika moja. Hebu toa mfano halisi wa kufanya utafiti wa soko then ndio uuze. Labda kuna sehemu tunafeli.

Mfano
Unafanya utafiti wa Tangawizi unakuta bei nzuri Nairobi, Unalima mara Serekali imekataza kuuza Kenya. Hasara
 
Kuna swali wakuu wamekuuliza ungejibia hilo swali tungepata kukupa michongo kulingana na ulipo. Swali lenyewe umeulizwa uko wapi i mean mkoa gani na mji gani? Tuambie tukuonyeshe fursa za ulipo.
Nipe michongo ya Mwanza mkuu
 
Mkuu soko letu la kilimo halina utafiti, linabadilika dakika moja. Hebu toa mfano halisi wa kufanya utafiti wa soko then ndio uuze. Labda kuna sehemu tunafeli.

Mfano
Unafanya utafiti wa Tangawizi unakuta bei nzuri Nairobi, Unalima mara Serekali imekataza kuuza Kenya. Hasara
Hapo unakua hujafanya utafiti mkuu, unatakiwa ujue policy zetu ni unpredictable mno , at anytime zinabadilika...so kabla hujaenda huko ujue hilo

Yako mazao mengi sana ambayo unaweza uza hapa hapa , hayakuhitaji uende huko nje, hayana changamoto ya bei kua unpredictable muda wote ,soko liko... Ni swala la wewe kukaa chini na kutuliza kichwa , unapata elimu , unapata na taarifa kuhusu unachotaka kufanya , then unaingia shamba...

Faida siku zote kwenye kilimo inategemea quantity ..kwa bidhaa zetu za kawaida.. Lakn pia ,zipo bidhaa ambazo zinategemea vyote, quantity na quality...do your home work bro... Chukua njia moja , kufa nayo ...utakuja kusema hapa
 
Back
Top Bottom