Dar Kuna hela, mkoani utapotea
Angalia biashara ndigodogo Tandika, mtoni , mbagala hayo Maeve Yana watu wengi Sana hata ukitaka kukesha utakesha unauza
We mtu akitofautiana na wewe mtazamo tayari unaona uwezo wake kufikiri ni mdogo sio ? Hivi dunia ingekua na watu wana mawazo uniform kuna jambo lingesogea kweli ?Uwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.
Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
Kumbe ni tabia yako ...ooh..sasa nimekusoma vizuriNimepigwa ban kwa id iyo asee kuna jamaa kanichomea eti nimetukana so funguka unataka elewa issue ipi apo mkuu
Kutokana na mtaji wake, anaweza kufanya biashara ndogo ndogo na maeneo yenye watu wengi yatamfaa zaidi lakini angekuwa na mtaji mkubwa isingekuwa shidaUwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.
Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
Laki 5 mkuuUna mtaji wa kiasi gani mkuu ili tukutajie biashara za kufanya kwa huko Mwanza.
We mtu akitofautiana na wewe mtazamo tayari unaona uwezo wake kufikiri ni mdogo sio ? Hivi dunia ingekua na watu wana mawazo uniform kuna jambo lingesogea kweli ?
La mwisho kua mstaarabu , kujificha nyuma ya simu mpapaso sio kigezo cha kutusi mtu mwingine, hoja hupingwa kwa hoja iliyo bora zaidi sio matusi
Kilimo nakiogopa sana! Yaani kilimo kimenipiga chenga ya mwili kwa sasa nimeamua nikae Chini kwanza niwaze na kuwazua.Sasa kun mchizi alisikia hilo katazo akaona apitishe chocho za huko bunda!....njia nzima wnauliza watu wao wanaambiwa njooni tu kuko shwari..alikua na mwezake .lori km 3!anakuambia akamkuta waziri kajaa pale(nimemsahau jina)kifup mahindi yakataifishwa[emoji26][emoji26]!yakauzwa kwa wananchi kwa bei ya kutupa!anasema alizika 70m pale pale!huwez amin nimemwajiri nw...analewa tu gongo!
Kilimo nakiogopa sana! Yaani kilimo kimenipiga chenga ya mwili kwa sasa nimeamua nikae Chini kwanza niwaze na kuwazua.
Nitajitahidi, lakini kilimo kwa mm hapana! Ngoja nipumzike kwanzaBadili gia nunua mazao ya nafaka mkuu
Ikizeeka anitafute aniuzie Mimihuku taratibu pikipipiki inazeeka
SatoSamaki wa aina gani?
kuna vitu vinachekesha na vunaumiza sananimemwajiri nw...analewa tu gongo!
Wewe bana acha woga ni biashara Kama zilivyo nyingine Mimi Nilinunua Yangu mwaka jana imesharudisha hela now nakula faida 5000 per dayHuu upumbavu wa biashara ya boda boda usije kujaribu yaan ni bora ukabet
Kana kazi nyingi za kufanya ila hyo sikushauri!
Kabisa kaka nilikwenda Dar miezi miwili nikatamani nirudi mkoani hata kwa mguu Dar ni kwenda kutumia faida Unarudi kuzisaka mikoaniUwezo wako wa kifikiri ni mdogo sana ata wa kureason pia utakua mdogo sina shaka.
Wewe unaamini kila palipo na mkusanyiko ni fursa utafeli sana kama ndo ivi Tz tunasafari ndefu sana
Kama unaweza umachinga nunua belo la makoti ya mvua fungua na uza. Huu ni mchongo babake. Nimewahi piga pesa. Ukiwa na bahati mara moja moja utakuwa unapata pasu kwa pasu.Laki 5 mkuu