Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Wacha nifanye mpango nimfungulie wife, yaani mtaji elf 50!!!!Hii biashara iko vizuri best yangu anafanya hii anasifia inalipa kiasi
Mbona Bajaji mwaendesha...!!!? Kwa nini wewe ushindwe kua boda boda? Hujaamua tu ila ukiamua utaendeshaMimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyo
Hii inaeeza kulipa.Mimi bina eneo huku Goms kama ekari 1 akina mama wameniambia nipande mchaichai watakuja chuma nina kisimaNunua samaki tembeza mtaani, Mboga za majani tembeza mtaani.
Mkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?
Nilitaka kupita tu! Bora umenisaidia akaanze yeye alafu alete mrejesho.Kuandika ni rahisi sana kuliko uhalisia...
Wapo ma-she wanaoendesha bodaboda so hata ww ungetaka ingewezekana..Mimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyo
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Mchaichai unauzwa siku hizi sokoni tofauti na zamani mkuu panda inaweza kukulipa ishaalahHii inaeeza kulipa.Mimi bina eneo huku Goms kama ekari 1 akina mama wameniambia nipande mchaichai watakuja chuma nina kisima
AiseeHiyo laki 2 nunua vimini njoo dodoma anza kuuza mbunye utapata zaidi ya elf 10 per day.
NB:ILA UWE UNA MVUTO.
Huo mtaji utahusisha pia sehemu ya malazi na chakula? Ama una ndugu mikoa yote ya Tanzania?Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Sijawahi kuona wanawake wanaendesha boda kuchukua abiriaWapo ma-she wanaoendesha bodaboda so hata ww ungetaka ingewezekana..
Kuhusu kuifanya mie sikushauri ina changamoto nyingi.. Nakueleza hvyo kwakuwa mimi nishaifanya hii biashara tena niliwapa vyombo watu.
Halafu ndiyo nakula hizo Viewers au!Anzisha youtube channel, iite 'Vituko uswahilini'. Sasa wewe kazi yako iwe ni kuzunguka uswahili, ukikuta kihoja kirekodi, edit chap chap kwenye simu yako kisha una rushia youtube. Wabongo hupenda vitu vya kijinga kama hivyo, utapata viewers wa kutosha, 7k kwa siku hukosi.
Kwanini usiende feli ukawe unachukua samaki,unakaanga jioni,unauzia watu...laki mbili inatosha!Mikoani si kuna nyumba za kupanga jamani au.
Lakimbili ni mtaji tu.
Hela ya kula iko pembeni.
kumbe umejipanga, kuna mdau kasema uende karume uchukue viatu vya mtumba vya wadada kwa elf50 tuMikoani si kuna nyumba za kupanga jamani au.
Lakimbili ni mtaji tu.
Hela ya kula iko pembeni.