makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wapo ndugu yangu!!Sijawahi kuona wanawake wanaendesha boda kuchukua abiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ndugu yangu!!Sijawahi kuona wanawake wanaendesha boda kuchukua abiria
Hapa dar esWapo ndugu yangu!!
AiseeeS
kumbe umejipanga, kuna mdau kasema uende karume uchukue viatu vya mtumba vya wadada kwa elf50 tu
Pia kuna jamaa yangu ye anauza mitandio ya wadada na baadhi ya nguo kwa buku mbili tu, ye anadai mtaji wake ni elf20 na anapata faida elf 50 hadi 70 kwa week, maana yake kila vikiisha anaenda kuchukua mzigo wa elf 20 kisha anatembeza mitaani, huyu nafanya nae kazi maana kuna mingine huwa anatuletea kazini tunanunulia wake zetu
Mzigo anachukulia tandika pale anasema ili upate bidhaa nzuri unapaswa kuwahi saa kumi na mbili kuna duka analochukulia mzigo naweza kukupatia mawasiliano yake akakupa mwongozo
Ziweke mezani?Pesaa ndogo... Kwa milion 2 ungepata hata 50000 kwa siku zipo biashara nyingi tuu
Hii biashara ni kweli kabisa. + vile vimishikaki vya hovyo hovyo na ndizi za kukaanga.Kuna mdada mmoja yeye anauza miguu ya kuku na vichwa vya kuku. Vinanunuliwa balaa. Ni biashara kama unaidharau lakini anapata faida
Umeanza vizuuuri... Sasa hapo vi/Zipo nyingi kwa mtaji Wa laki 200k - 300k
I/nunua gunia 3 za mkaa uza rejareja
ii/uza matunda ya kukata kata kwenye visahan na uuze kila plate elfu 1 plate 20 uta kuwa umepata faida na hela ya mtaji imerud
iii/fungus banda LA chips na vinywaji
iv/km upo dar uza kachor, ngisi na pweza
v/nguo za wadada zinalipa sana tengeneza kibanda kwenye mzunguko Wa warembo wengi nenda mchikichini nunua top, skin jeans,vimini na viatu Anza Kuuza.
vi/ beti kila Siku mikeka ya elfu 5 kaa subiri matokeo
Like youNzuri hii..
niko dar sasa hivi, Ila fursa hata ikiwa mkoani nitaifata.
ha ha kumbe ujatembeaMimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyo
Jitahidi ufungue filling station,hutajuta,tafuta eneo maeneo ya ocean road au postaNimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
brother filling station ndo nini ☆Jitahidi ufungue filling station,hutajuta,tafuta eneo maeneo ya ocean road au posta
brother filling station ndo nini ☆
Ofcourse not, channel yako ikikua na kufikia vigezo unajiunga na adsense, kisha unapata vijisenti, 7000 hiyo kwa siku hukosi kabisa, ila upiga kazi hasa na kizalisha vipindi vizuri vyenye kuvutia watazamaji wengi, ili matangazo ya biashara yakiwekwa kwenye video zako yaonwe na watu wengi.Halafu ndiyo nakula hizo Viewers au!