Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Kwny kutafuta kijana ndo shida kubwa maana hakuna mwaminifu kila siku atakwambia bodaboda imeharibika hichi, mara nimekamatwa na trafic mara nilikuwa naumwa sijafanya kazi, yaani stress mtindo mmoja na unakuja kutahamaki bodaboda imeshakongolewa ndani ya muda mfupi.
Hapo ndio kwenye tatizo mpenz
 
Join my fx team the earning is 5 day per week, minimum earn is 15usd maximum 25usd
Ada ya kujiunga au camishen uchaguzi in wako
 
Ni kweli sikujui mkuu wangu...
Na bado nasisitiza kuandika si sawa na uhalisia. Si kwamba kwakuwa wewe ulifanikiwa basi shurti na mwingine afanikiwe. Na sijajua hii biashara yako uliifanya mwaka gani... Kwa hali halisi ya sasa, kufanya uliyoyafanya wewe na kupata ulichopata wewe... Ni kudra za mwenyezi Mungu tu
Nimegundua wewe jamaa ni takataka.

Endelea kuishi hapo kwa dada yako.

Zimbabwe uchumi umekufa lakini biashara zinaendelea seuse Tanzania ambao bado hatujafika kiwango cha Zimbabwe.
 
Nakuapia hutafanikiwa kwa jina la Mwenyezi Mungu kama lengo lako ndio hilo.Tena utaipata kweli kweli hasira ya Mungu
Eti nakuapia hahahahahahahahahahah sawa mungu mtoto
 
Nimegundua wewe jamaa ni takataka.

Endelea kuishi hapo kwa dada yako.

Zimbabwe uchumi umekufa lakini biashara zinaendelea seuse Tanzania ambao bado hatujafika kiwango cha Zimbabwe.
Basi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...

Girlfriend wa takataka huzaa takataka...

Na kama unadhani naishi kwa dada yangu, muulize mama yako akupe historia yangu...

Nyang'au wahed... usihangaike kunijibu kwakuwa sitaiona post yako. Nimeweka kwenye ignore list kwa kuwa siwezi bishana na vikojozi
 
Katika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.
Kweli, kuna jamaa nimekutana ilala mpaka amejenga chanika yeye anauza nguo za kiume kwa kutembeza na sio yeye aliye niambia kajenga ila, kuna rafiki yangu ndie aliye niambia maana alikuja kwenye duka lake la huyo rafik yangu akanidokea jirani yangu huyo chanika
 
Mkuu naomba nielekeze procedures za kufungua hii kitu!hivi huwa inagharama kuanzisha?na malipo yake wanalipaje yaani kuanzia viewers wangapi ndio wanakulipa pesa?
Naomba uingie google, wana special page ya kuelezea kwa kina
 
Basi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...
Girlfriend wa takataka huzaa takataka...
Na kama unadhani naishi kwa dada yangu, muulize mama yako akupe historia yangu...
Nyang'au wahed... usihangaike kunijibu kwakuwa sitaiona post yako. Nimeweka kwenye ignore list kwa kuwa siwezi bishana na vikojozi
Anyway, Nakupuuza.

Naheshimu uzi wa watu.
 
Basi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...

Girlfriend wa takataka huzaa takataka...

Na kama unadhani naishi kwa dada yangu, muulize mama yako akupe historia yangu...

Nyang'au wahed... usihangaike kunijibu kwakuwa sitaiona post yako. Nimeweka kwenye ignore list kwa kuwa siwezi bishana na vikojozi
Samahani mzee baba kuna vikojozi wa aina 2 hapo..dadavua
 
Nunua gramu tatu za pure cocaine, nunua na gramu kumi za Levamisole changanya mpaka upate gramu 8 mpaka kumi,tafuta clients wawili very addicted na wenye pesa,mpe mmoja sample kidogo ya bure mwambie hii kitu mpya town,mpe namba yako ya simu,mwambie Gram moja ni 40,000 lakini ukinunua G mbili ni 35,000 utaingiza buku saba mara kumi kwa kupokea simu tu.Good luck.
Hizo Cocein Pure nazinunua wapi?
Hebu fafanua zaidi
 
Back
Top Bottom