Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Hiyo laki 2 nunua vimini njoo dodoma anza kuuza mbunye utapata zaidi ya elf 10 per day.
NB:ILA UWE UNA MVUTO.
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
 
Huo mtaji utahusisha pia sehemu ya malazi na chakula? Ama una ndugu mikoa yote ya Tanzania?
 
Anzisha youtube channel, iite 'Vituko uswahilini'. Sasa wewe kazi yako iwe ni kuzunguka uswahili, ukikuta kihoja kirekodi, edit chap chap kwenye simu yako kisha una rushia youtube. Wabongo hupenda vitu vya kijinga kama hivyo, utapata viewers wa kutosha, 7k kwa siku hukosi.
Halafu ndiyo nakula hizo Viewers au!
 
S
Mikoani si kuna nyumba za kupanga jamani au.
Lakimbili ni mtaji tu.
Hela ya kula iko pembeni.
kumbe umejipanga, kuna mdau kasema uende karume uchukue viatu vya mtumba vya wadada kwa elf50 tu

Pia kuna jamaa yangu ye anauza mitandio ya wadada na baadhi ya nguo kwa buku mbili tu, ye anadai mtaji wake ni elf20 na anapata faida elf 50 hadi 70 kwa week, maana yake kila vikiisha anaenda kuchukua mzigo wa elf 20 kisha anatembeza mitaani, huyu nafanya nae kazi maana kuna mingine huwa anatuletea kazini tunanunulia wake zetu
Mzigo anachukulia tandika pale anasema ili upate bidhaa nzuri unapaswa kuwahi saa kumi na mbili kuna duka analochukulia mzigo naweza kukupatia mawasiliano yake akakupa mwongozo
 
Back
Top Bottom