Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mamy ulijaribu hii biashara
Kuendesha mwenyewe hapo ndio kwenye mtihani mimi niko na mishe nyingineNaijua..boda hawaleti kipandw labda uendeshe mwenyew..kla siku sababu
Hapo ndio kwenye tatizo mpenzKwny kutafuta kijana ndo shida kubwa maana hakuna mwaminifu kila siku atakwambia bodaboda imeharibika hichi, mara nimekamatwa na trafic mara nilikuwa naumwa sijafanya kazi, yaani stress mtindo mmoja na unakuja kutahamaki bodaboda imeshakongolewa ndani ya muda mfupi.
Mimi she sitaweza kuendesha bodaboda mkuu ila inanishawishi nifanye biashara hiyo
Shukrani mpendwaFuata ushauri huo dada,,,hiyo biashara ilikua na pesa miaka 5 iliyopita kwa sasa pasua kichwa hasa ukizingatia wewe ni she halafu inahitaji ufatilie chombo kupitiliza vinginevyo kitakufa
Acha ujanja ujanja mtu analia njaa anataka ajikwamue ww unataka umkwarue hichohicho kidogo alichonachoJoin my fx team the earning is 5 day per week, minimum earn is 15usd maximum 25usd
Ada ya kujiunga au camishen uchaguzi in wako
Nakuapia hutafanikiwa kwa jina la Mwenyezi Mungu kama lengo lako ndio hilo.Tena utaipata kweli kweli hasira ya MunguNatafuta pesa niwanyanyase
Nimegundua wewe jamaa ni takataka.Ni kweli sikujui mkuu wangu...
Na bado nasisitiza kuandika si sawa na uhalisia. Si kwamba kwakuwa wewe ulifanikiwa basi shurti na mwingine afanikiwe. Na sijajua hii biashara yako uliifanya mwaka gani... Kwa hali halisi ya sasa, kufanya uliyoyafanya wewe na kupata ulichopata wewe... Ni kudra za mwenyezi Mungu tu
Eti nakuapia hahahahahahahahahahah sawa mungu mtotoNakuapia hutafanikiwa kwa jina la Mwenyezi Mungu kama lengo lako ndio hilo.Tena utaipata kweli kweli hasira ya Mungu
Basi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...Nimegundua wewe jamaa ni takataka.
Endelea kuishi hapo kwa dada yako.
Zimbabwe uchumi umekufa lakini biashara zinaendelea seuse Tanzania ambao bado hatujafika kiwango cha Zimbabwe.
Kweli, kuna jamaa nimekutana ilala mpaka amejenga chanika yeye anauza nguo za kiume kwa kutembeza na sio yeye aliye niambia kajenga ila, kuna rafiki yangu ndie aliye niambia maana alikuja kwenye duka lake la huyo rafik yangu akanidokea jirani yangu huyo chanikaKatika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.
Naomba uingie google, wana special page ya kuelezea kwa kinaMkuu naomba nielekeze procedures za kufungua hii kitu!hivi huwa inagharama kuanzisha?na malipo yake wanalipaje yaani kuanzia viewers wangapi ndio wanakulipa pesa?
Anyway, Nakupuuza.Basi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...
Girlfriend wa takataka huzaa takataka...
Na kama unadhani naishi kwa dada yangu, muulize mama yako akupe historia yangu...
Nyang'au wahed... usihangaike kunijibu kwakuwa sitaiona post yako. Nimeweka kwenye ignore list kwa kuwa siwezi bishana na vikojozi
Samahani mzee baba kuna vikojozi wa aina 2 hapo..dadavuaBasi mwonee huruma mama yako... maana enzi za ujana wetu ndo alikuwa girlfiend wangu...
Girlfriend wa takataka huzaa takataka...
Na kama unadhani naishi kwa dada yangu, muulize mama yako akupe historia yangu...
Nyang'au wahed... usihangaike kunijibu kwakuwa sitaiona post yako. Nimeweka kwenye ignore list kwa kuwa siwezi bishana na vikojozi
Hizo Cocein Pure nazinunua wapi?Nunua gramu tatu za pure cocaine, nunua na gramu kumi za Levamisole changanya mpaka upate gramu 8 mpaka kumi,tafuta clients wawili very addicted na wenye pesa,mpe mmoja sample kidogo ya bure mwambie hii kitu mpya town,mpe namba yako ya simu,mwambie Gram moja ni 40,000 lakini ukinunua G mbili ni 35,000 utaingiza buku saba mara kumi kwa kupokea simu tu.Good luck.