Hawa we ni mtu wa mishemishe kumbe, ushawahi fanya biashara ipiUnajua kuna biashara watu tunazichukulia sipo lakini pesa ya kula hukosi na faida kiasi
Weka bidii ya kuchunguza utajua zinanunuliwa wapi,kila kitu ni bidii nimeshakupa intro Dada Sauda.Hizo Cocein Pure nazinunua wapi?
Hebu fafanua zaidi
Hahah nasubiria hasira zako ziishe mtoto mzuri. Sema huko Ntwala raia wa kuwabeba wako wa kutosha kweli?Asante mpenzi....wacha nipambane halafu aje mwanaume anisumbue atajuta nina hasira nao sana hawa viumbe
πππ hasira ni kama ulevi wa bia tu...baada ya muda pombe ikiisha anakuwa katulia tu wahuni tunafanya yetuNtakuja kivingine tu. Sasa utaamua mwenyewe hizo hasira unimalizie Mimi au vip
Biashara nyingi mzee baba ila nilizo dumu nazo ni biashara ya nguo kwa wanawake,biashara ya vinywaji baridi,kupeleka nguo mikoani n.kHawa we ni mtu wa mishemishe kumbe, ushawahi fanya biashara ipi
Namuachaga tu ajiongeleshe kwanza..[emoji23][emoji23][emoji23] hasira ni kama ulevi wa bia tu...baada ya muda pombe ikiisha anakuwa katulia tu wahuni tunafanya yetu
Mkuu nipenda idea namb 31. kama upo dar es saalam, anza kutengeneza kahawa na kasheti; tafuta vijana waamifu 5 waanze kukutembezea
2. Tafuta meza ya matunda Eneo lolote la chuo ama sehemu nzuri ile ya watu waliostaarabika wanaojali afya na kujua umuhimu wa kula wa matunda.
3. Fungua genge la chakula sehemu zilizochangamka tafuta wadada wasafi na mvuto kiasi wakuzunguka vijiweni na maofisini kukuuzia na kukutafutia masoko. Chakula kitamu na bei iwe inaendana na hali za watanzania.usitake faida kubwa
4. Wengine wataendelea zipo nyingi tu naamini
Mtwara kama dar es mkuu kupo vizuri kabla sijaenda huko nilikuwa nakuchukulia poa ila nilipo peleka biashara aisee kuko poa mno.Hahah nasubiria hasira zako ziishe mtoto mzuri. Sema huko Ntwala raia wa kuwabeba wako wa kutosha kweli?
Huyu ni ule ukikojozi wa kujikojolea...Samahani mzee baba kuna vikojozi wa aina 2 hapo..dadavua
Raia wa kuwabeba kuwapeleka wapi?Hahah nasubiria hasira zako ziishe mtoto mzuri. Sema huko Ntwala raia wa kuwabeba wako wa kutosha kweli?
Hahahaahahhaahaha[emoji23][emoji23][emoji23] hasira ni kama ulevi wa bia tu...baada ya muda pombe ikiisha anakuwa katulia tu wahuni tunafanya yetu
Napendaga hiyo ya nguo za wanawake inalipaBiashara nyingi mzee baba ila nilizo dumu nazo ni biashara ya nguo kwa wanawake,biashara ya vinywaji baridi,kupeleka nguo mikoani n.k
Filling station ni project ya mamilioni ya fedha, ama filling ipi unayozungumzia wewe?Jitahidi ufungue filling station,hutajuta,tafuta eneo maeneo ya ocean road au posta
Utamuweza huyo mda wote anawaza kRaia wa kuwabeba kuwapeleka wapi?
AhahhahaahahahahNamuachaga tu ajiongeleshe kwanza..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wapo atawachoka yeyeUtamuweza huyo mda wote anawaza k
Inalipa Ukipata eneo nzuri la biashara halafu huko Mtwara msimu wa korosho unapiga pesa wamakonde kwa kuvaa hawana ubahili wakiwa na pesa za korosho πππππNapendaga hiyo ya nguo za wanawake inalipa
Ni kweli mkuu, maana hata mimi nimetafakuri kwa inakuwaje hapoIla mkumbuke anazungumzia faida kwa siku si mapato....