Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Kukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.
Hii nakubali kuda Dada hapa kanipiga pesa dah najuuta eti alinikopesha nguo kwa lazima jamani....Mimi namwambia namlipa cash ye kakomaa anikopeshe imeniuma naona kachukua hela za haramu
 
Demand, demand, demand......

Biashara ikigoma kwako sio kwamba itagoma kwa mwingine, kuna mtu anaweza kufanya hicho hicho unachofanya wewe meza ya pili yeye akapata na wewe usipate..

theoretically biashara nyingi unaweza kupata hio

practically inategemea mzunguko
mfano soda faida haifiki mia kupata 10,000/= inabidi uuze soda zaidi ya mia, vitu kama juice za kutengeneza mwenyewe huenda ,margin ikawa juu zaidi.., kuna watu wanatembeza uji mtaani anauza zaidi ya ndoo za lita ishirini kadhaa..., mwingine hata thermos hamalizi..., chips kuna watu wanamaliza magunia.., mwingine viazi vinaozea kwenye kabati na akiuza sahani tano siku hio anafurahia...

kwa ushauri anza na vitu visiyoharibika kitu kama mmpesa n.k. hata ukipata tshs 2000/ = kwa siku ukiweka na vingine sio haba tofauti na vyakula ambavyo huenda na mtaji ukakata kwa kukosa wateja
 
Sauda tafuta nafasi kwenye shule za msingi, weke mazingira ya usafi, hii biashara inalipa sana kwa wanafunzi.
Mwl.RCT Tumekuwa wanajumuiya muda mrefu tokea yule bwana alete library ila akakosa nondo,nawe ukampoka usukani...nachokusudia kusema hapa ni kwamba kama umetia sunna kwenye bandiko hili basi ushauri wako nauunga mkono na upite bila kupingwa bila kuathiri vifungu vingine vilivyotumika kutoa uzi huu!
 
Kukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.
Mkuu yaani na nguvu zako, na ni rejareja na ile risk ya kudhulumiwa au mzigo kutokuisha na pesa yako kutokuwa katika mzungunguko na knowledge yako na muda as well as hii ni fashion kuna watu wanavaa ili waonekane wamevaa vya bei bado unaita ni Haramu !!!!!

Wewe hapo faida ni 50% hapo hata faida ingekuwa hata 200% bado ni haki yako, usihesabu tu bei ya kununulia pia weka na muda wako na imagine kwamba wewe ni mwajiliwa wa biashara yako inayokulipa mshahara hence weka mshahara wako pia kwenye cost za biashara
 
Demand, demand, demand......
Biashara ikigoma kwako sio kwamba itagoma kwa mwingine, kuna mtu anaweza kufanya hicho hicho unachofanya wewe meza ya pili yeye akapata na wewe usipate..
theoretically biashara nyingi unaweza kupata hio
practically inategemea mzunguko mfano soda faida haifiki mia kupata 10,000/= inabidi uuze soda zaidi ya mia, vitu kama juice za kutengeneza mwenyewe huenda ,margin ikawa juu zaidi.., kuna watu wanatembeza uji mtaani anauza zaidi ya ndoo za lita ishirini kadhaa..., mwingine hata thermos hamalizi..., chips kuna watu wanamaliza magunia.., mwingine viazi vinaozea kwenye kabati na akiuza sahani tano siku hio anafurahia...
kwa ushauri anza na vitu visiyoharibika kitu kama mmpesa n.k. hata ukipata tshs 2000/ = kwa siku ukiweka na vingine sio haba tofauti na vyakula ambavyo huenda na mtaji ukakata kwa kukosa wateja
Nzuri
 
Back
Top Bottom