Demand, demand, demand......
Biashara ikigoma kwako sio kwamba itagoma kwa mwingine, kuna mtu anaweza kufanya hicho hicho unachofanya wewe meza ya pili yeye akapata na wewe usipate..
theoretically biashara nyingi unaweza kupata hio
practically inategemea mzunguko mfano soda faida haifiki mia kupata 10,000/= inabidi uuze soda zaidi ya mia, vitu kama juice za kutengeneza mwenyewe huenda ,margin ikawa juu zaidi.., kuna watu wanatembeza uji mtaani anauza zaidi ya ndoo za lita ishirini kadhaa..., mwingine hata thermos hamalizi..., chips kuna watu wanamaliza magunia.., mwingine viazi vinaozea kwenye kabati na akiuza sahani tano siku hio anafurahia...
kwa ushauri anza na vitu visiyoharibika kitu kama mmpesa n.k. hata ukipata tshs 2000/ = kwa siku ukiweka na vingine sio haba tofauti na vyakula ambavyo huenda na mtaji ukakata kwa kukosa wateja