Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

Unaweza kununua hata mifugo kwa milioni 5 (mbuzi na ng'ombe) ukaja kuiuza mwezi wa 2 au 3 faida yake ni mara 2.
Hii imekaaje mkuu? Kuna jamaa mmoja nilisikia ana shamba kubwa kwa ajir ya kunenepeshea huko kanda ya ziwa, ukinunua ng`ombe unampelekea then walipia hela ya chakula na matunzo then after 2 or 3 month anakuwa kanenepa tayari kwa kupelekwa sokoni, hii umewahi isikia mkuu??
 
Back
Top Bottom