Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

Heri yako Mkuu.

Milango ya mishe mishe Magufuli ndio anaifunga hivyo, itabakia kuwa historia.
 
Fanya biashara hiyohiyo uliyonasia million 15.

Chambo kizuri utawavua wengi. Usikate tamaa.
Dili la moto hilo. Zama hizi huwezi tu kuzifumania milioni 15 halafu unasema hujui cha kuzifanyia sasa cha kumuuliza kazipata wapi hizo milioni 15 kwa akili ambayo haiwezi kufikiria kuhusu biashara ya kufanya kama sio kuna sehemu mtu kabigwa tayari au ndo mgao wa dola 40000 zilizoibwa mikocheni juzi..😀😀😀
 
kwa swax mazao yanalipa sana nna uzoefu nayo mno kwanza unaweza invest kias katika kuyanunua na kuuza ,kias ukaweka katika kulima na kukopesha wakulima pembejeo then muda wa mavuno wanakulipa mazao .Masok ya uhakika yapo ndan na nje ya nchi me hua natumia ya Congo na Zambia zaidi
 
Ingekuwa zaman ningekushaur uongeze zifike kama 80 halafu uje unikope nikupe hati ya nyumba halafu unanipa grace period ya miez minne baada ya hapo unapokea per month USD 8000 kwa muda wa miez 12 ila sasa HIV naogopa njaa kal nisije nikAtapeli. Simply nunua mashine za kukoboa na kusaga tengeneze nembo uzia unga wAcongoman wa kalemii
 
Biashara zingine changamoto ni nyingi sana mfano TRA, fire, kodi, ulinzi, umeme, wafanyakazi, ushuru wa Halmashauri n.k
Hapo tu ndo nachokaga,hivi serikali inategemea unaingiza faida ya sh ngapi kwa matumizi yote hayo na bado mtaji usimame na usave faida sh ngpi,ili ukuwe na ustawi zaidi hii serikali bwana wanyonyaji sana
 
Back
Top Bottom