Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

dah ni nzur saana iyo idea but nahisi kulipa ni baada ya muda mrefu
Hana maana ujenge na upangishe. Unajenga vizuri unauza. Ukishauza unatafuta kiwanja kingine kizuri, unajenga halafu unauza. ... Ushauri mzuri ila si kwamtaji huo, inahitajika pesa X3 au zaidi ya hiyo.
 
fungua duka la vitu vya jumla soda bia unga wa ugali na ngano na vikookoro vidogo vidogo inaweza ikachukua kama milion 5 nyingine weka benk maisha yanakwenda
Hii biashara inahitaji mtaji mkubwa hata zaid ya 15m ingawa unaweza kuanzia hiyo ila sii chini ya hapo
 
Biashara ambayo unaweza fanya awamu hii yenye demand ya uhakika(ukizingatia location yako)ni agrobusiness mkuu,,na kwa sababu upo S'wanga mazao ndo sehemu yake

Ni pm nikuunganishe na mtu mwenye uzoefu wa hiyo biashara kwa huko(hasa biashara ya mchele) zaidi ya 10 years yupo na biashara hiyo,ana eneo la mashine ya kukoboa na magodown eneo la sido hapo karibu na tanesco power plants hapo,,atakupa ushauri mzuri zaidi maana she is currently dealing with it,anai manage vizuri na anaifanya fulltime, na unaweza kufanya nae patnership ukabenefit connections na resource zake kujijenga

Kama utaprefer kufanya na kijana mwenzio kuna jamaa(of around 25 yrs of age)anafanya same business but yeye ni kutoka huko kwenda Zambia(lusaka,ndola n forth) n anaifanya full time tangu 2012 n dakika hii yupo lusaka anajiandaa kurudi kuchukua mzigo,ye hanaga holiday na ana resources almost like yule wa kwanza

U will thank me later
Matapeli mnajua kujibrand aisee


Ok
 
Najenga nyumba now, kuifikisha kwenye lenta ni 5.3M
Hapo ni nyumba ya vyumba 3, 2 self contained. Jiko, stoo, public toilet, sitting room.
Na ni Dar es salaam.

Labda kama mshamba upate mafundi wakugonge
Sema unajenga kijumba mkuu
 
Back
Top Bottom