Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Optical level!Kwa kifupi kuna sehemu unaweza kupata kiwanja ...mchanga ukawa unaletewa na mkokoteni Vs.Tipper.
Kuna sehemu maji ndoo ni BUKU lakini sehemu nyingine ni sh. 50
Kuna baadhi ya maeneo ku Set kiwanja unatumia TOTAL STATION na kuna baadhi ya maeneo fundi ana set kwa macho.
Sasa basi hayo maeneno yenye unafuu ndio nayaita uswazi.
Nina uhakika huna ufahamu na total station na kwa kukusaidia,ipo hapo pichani
View attachment 433836
Asilimia 75% ya gharama za ujenzi zipo ktk usafiri.