kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,678
Bahati mbaya au nzuri sijengi uswazi.Huo uwanja umeununua sh ngapi? Paa utaweka nyasi au bati na bati umeandaa sh ngapi?
Milango madirisha plaster gypsum ceiling skiming rangi floor tiles vuoo na plumbing mashimo ya vyoo umeme?
Weka makadirio ya bei ya hivyo vitu tujuwe thamani ya ujenzi huko uswazi....
Pia nimekuandikia kwamba NIMEJENGA MPAKA KWENYE LENTA kwa bei hiyo.
Exclude kiwanja, Mapaa and all shit.
Ila nategemea kupiga bati ya south