geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 658
- 946
bintishomvi eneo la ukubwa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya nyasi.ana 15mil......unasema ajenge nyumba?....
Imenikumbusha ule msemo kuwa zilipotokea ndipo zitakapoin ingiliaFanya biashara hiyohiyo uliyonasia million 15.
Chambo kizuri utawavua wengi. Usikate tamaa.
Mkuu it sounds like Ulibet?pesa nliopata sio ya biashara
We fixed account million 10.habari wakuu!
katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa
nipo sumbawanga wakuu!
Unasema? Ananunua kiwanja kisha anajenga kisha anauza? Msingi million 15. 7 ? Kweli mdau au unamtania mshkaji?jenga nyumba kisha uza blv me itakufikisha mbali
Engineer siku ukiamua unajibu kiuu uzima mpaka raha... Shakamoo ma mkwe.Fanya biashara hiyohiyo uliyonasia million 15.
Chambo kizuri utawavua wengi. Usikate tamaa.
Hataki kuweka mayai yote kwenye kapu moja... Mpe ushauri mzuri mama mkwe.Udalali ni biashara pia, endelea na bishara hiyohiyo.
Kwahiyo uswazi cement mfuko sh 1500 au? Huo uwanja uswazi unagawiwa buree sababu mjomba anamiliki ekati 500? Hivi uswazi bati linauzwa jero?Milioni tano 5 unajenga nyumba uswahilini,
Jenga nyumba 3 za hali ya chini mixer fremu....uswazi
Weka simple breakdown ya hiyo biashara... Say mukiwa na capital ya kiasi gani mutarajie profit kiasi gani na kwa muda gani... Unapokataa maswali unakosea maana hapo watu wanaongelea pesa na sio maji useme yakimwagika utachota mengine mtoni au baharini.... Pesa hiyo ujuwe ikikata maisha ya mtu yanabadilika ikiwamo kifo pia maana wengine tunataka kuwekeza viinua migongo ujuwe.Na hii aina changamoto za magu inapanda inashuka ila wewe uadhiliki Nina maana yangu ni hivyo anaekuja pm mwenye nia tu maana nimechoka kuojiwa .na wadodosaji lakini sio watendaji waoga wamezoea kuiga biashara bila kujua chanzo na sababu na kujistamini tusiwe waoga ukizingatia mimi najua changamoto zote na ninaweza kuzikabili sababu mimi mzoefu .
Najenga nyumba now, kuifikisha kwenye lenta ni 5.3MUnasema? Ananunua kiwanja kisha anajenga kisha anauza? Msingi million 15. 7 ? Kweli mdau au unamtania mshkaji?
Na anamuuzia nani wakatinhcnyumba zimewadodea.... Tuweni makini na hizi shauri tunazowapatia wenzetu la sivyo tunaweza kuwatia uchizi wa uzeeni.
Huo uwanja umeununua sh ngapi? Paa utaweka nyasi au bati na bati umeandaa sh ngapi?Najenga nyumba now, kuifikisha kwenye lenta ni 5.3M
Hapo ni nyumba ya vyumba 3, 2 self contained. Jiko, stoo, public toilet, sitting room.
Na ni Dar es salaam.
Labda kama mshamba upate mafundi wakugonge