Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sentensi mbili ila jibu lake kubwa kwelikweliFanya biashara hiyohiyo uliyonasia million 15.
Chambo kizuri utawavua wengi. Usikate tamaa.
pesa nliopata sio ya biashara
habari wakuu!
katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa
nipo sumbawanga wakuu!
Plastic chakavuBiashara gani
Plastic chakavu
Biashara ni ya plastic chakavu au makopo ya maji ,makopo ya maji au Chupa za maji unakuwa na mashine ambayo mimi ninayo na ya malekebisho kidogo unanunua dampo au vijiwe vya wanaponunulia unasaga na unawauzia wachina au plastic mfano mabeseni vikombe ,mabakuli n.k unatenganisha rangi na aina ya plastiki pia unatenganisha alafu unasaga unauzia hapa hapa au nje ya nchi masoko ya kenya nayajua na ya ndani nayajua hii biashara aiitaji usharobaro na msingi ukikua unanunua mashine za kutisha na kufanya kazi na kuipandisha dhamani na kutengeneza matilio ya atua ya pili masoko yapo ila siku ni nyingi sijaulizia being kwa sasa imesimama bei gani nimechoka kuuliza bei sababu inatia uchungu .masoko,pakunua jinsi ya kuendesha hii biashara na changamoto zake najua tatizo mtaji wa eneo la biashara na mimi ni mzoefu wa matilio yatokanayo na taka lejea kuna aina nyingi ya matelio dampo.ni hayo tu zaidi kwa anaeitaji tuingie ubia yeye ataingiza pesa kidogo hapo na kumuonyesha jinsi ya kufanya nae atafurahia biashara tuachane na biashara za mazoe unazoziona machoni mwako ujue wengi wana mawazo kama yako ushindani unakuwa mkubwa na unatumia akili ya ziada sana.samani kwa uandishi mbovuBintishomvi, pls elezea hii kitu kwa undani kidogo maana,nimekuona kwenye uzi kadhaa ukicomment kuhusu hii biaahara ya plastic chakavu
Mwenzako anakuambia ana mil 15 we unampigia budget ya mill 55.fungua duka la vitu vya jumla soda bia unga wa ugali na ngano na vikookoro vidogo vidogo inaweza ikachukua kama milion 55 nyingine weka benk maisha yanakwenda
type error ndugu na ni post y muda sana na mbona nili muuelezea kwa pale juuMwenzako anakuambia ana mil 15 we unampigia budget ya mill 55.
Na hii aina changamoto za magu inapanda inashuka ila wewe uadhiliki Nina maana yangu ni hivyo anaekuja pm mwenye nia tu maana nimechoka kuojiwa .na wadodosaji lakini sio watendaji waoga wamezoea kuiga biashara bila kujua chanzo na sababu na kujistamini tusiwe waoga ukizingatia mimi najua changamoto zote na ninaweza kuzikabili sababu mimi mzoefu .
Matapeli utawajua tuAre u serious? If so please njoo PM nikupe ushauri mzuuuuuri!
Karibuunadhan unataka mtu aje na mtaji wa kiasi gani, au kama ana eneo ungependekeza la ukubwa gani na wapi?
Karibubintishomvi shikamoo...nitakuja kusoma zaidi kuhusu hiyo biashara. Nimeshawishika na kutamania kwa namna fulani. Ngoja nitafute muda