moekhitaryan
Senior Member
- Oct 3, 2016
- 121
- 104
ndio nipo serious nahitaj uzoefu wa wazoefu mkuuAre u serious? If so please njoo PM nikupe ushauri mzuuuuuri!
asante kaka vp mchele kusafrisha unalipa?Fanya biashara ya mazao
Hii imekaaje mkuu? Kuna jamaa mmoja nilisikia ana shamba kubwa kwa ajir ya kunenepeshea huko kanda ya ziwa, ukinunua ng`ombe unampelekea then walipia hela ya chakula na matunzo then after 2 or 3 month anakuwa kanenepa tayari kwa kupelekwa sokoni, hii umewahi isikia mkuu??Unaweza kununua hata mifugo kwa milioni 5 (mbuzi na ng'ombe) ukaja kuiuza mwezi wa 2 au 3 faida yake ni mara 2.
asante saana mawazo yako mazur mkuuMifugo inalipa sana
asante saanaKwa utawala huu ushauri wangu usifanye biashara nje ya vyakula, ungekuwa dar ningekutafuta nikuonyeshe fursa zilizopo, Ila biashara mwa sasa ni chakula tu
dah ni nzur saana iyo idea but nahisi kulipa ni baada ya muda mrefujenga nyumba kisha uza blv me itakufikisha mbali
pesa nliopata sio ya biasharaFanya biashara hiyohiyo uliyonasia million 15.
Chambo kizuri utawavua wengi. Usikate tamaa.